Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
Dah - hebu wacheni hayo mambo yetu watu wa Pwani yakheee - Samaki haliwi upande mmoja ati......... Kwani nyinyi wa Bara mwayajua hayo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina swaumu
Naomba nikufate muda wa futari unisaidie hiyo namba
Nina swaumu
Kumbe yaitwa PETE pia,sikujua hili jina mm nafaham kwa jina la SUPU YA UTUMBO,PLAN B,JICHO nk
Wadada wa leo na tigo ndio habari ya mjini
Kuna mheshimiwa mmoja mtarajiwa viti maalum wa2 watafaidi sana kipindi hiki
PETE ni nzuri sana nasikia watu wakisema hivyo!
Mie napita tu wakuu!
Kuna mheshimiwa mmoja mtarajiwa viti maalum wa2 watafaidi sana kipindi hiki