Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

You sound like....yaani ni sawa mwanaume hasiye mumeo kuomba 'unyumba kinyume na maumbile', lakini ni jambo la kushangaza ikiwa mumeo atakuomba the same! Unaamanisha ni okey kwa mke kutoa unyumba kinyume na maumbile kwa mwanaume mwingine ila si mumewe, na mume kupata the same kwa mwanamke mwingine na si mkewe!? Nieleweshe tafadhali...

kama inafikia hatua mtu anaomba kwa mke wake basi ni wazi nje anachakaza sana hizo maeneo jambo ambalo ni alert mbaya sana kwa afya zenu wote wawili
 
kweli mume wako anaeza akaomba unyumba kinyume na maumbile na huyo ni mume wako kabisa????

Mtu anapokuwa mumeo anakuwa sio binadamu?

Kama anakuwa binadamu kwanini asifanye baadhi ya mambo wanayofanya binadamu wengine?
 
Watu wanao ongelea athari wengi wao wako tayari fanya hivyo...
Tujaribu angalia tu haya
Hivi Mungu alie muumba Mwanadamu alikosea kutupa akili kuwa hata huko nyuma ni sawa hadi sisi tuje vumbua hata nyuma pazuri?
Wanyama wote duniani waliumbwa kwa kutamkwa tu ila Mungu alipofika kwa Mwanadamu alisema " Na Tumfanye mtu kwa mfano wetu........... refer Genesis...."
Hivi Mungu wetu alivyo mkamilifu kweli atuumbe tufanye huo uchafu......
Mbwa na wanyama wengine wanatushinda akili linapokuja swala la kujamiiana.
Mi naona mtoaji na muonbaji wote akili zao wamezidiwa na Mbwa
 
You sound like....yaani ni sawa mwanaume hasiye mumeo kuomba 'unyumba kinyume na maumbile', lakini ni jambo la kushangaza ikiwa mumeo atakuomba the same! Unaamanisha ni okey kwa mke kutoa unyumba kinyume na maumbile kwa mwanaume mwingine ila si mumewe, na mume kupata the same kwa mwanamke mwingine na si mkewe!? Nieleweshe tafadhali...

By the way wanaofanya hii makitu wengi ni wanandoa na wengine wnafanya na wanandoa wao wengine wanaogopa kuomba ndani wanakwenda kupata nje .....

Kama mume anapata nje na mke nae anapata nje kwanini waoneane aibu kuombana ndani?

Si bora tu wapate ndani humo kwa humo kwa kujevia tu?
 
masai dada nimekusoma, i promise nitakutafuta.au unaweza ukaja huku kenya kuna kitu tukifanikishe kwa urahisi?
 
Last edited by a moderator:
kama inafikia hatua mtu anaomba kwa mke wake basi ni wazi nje anachakaza sana hizo maeneo jambo ambalo ni alert mbaya sana kwa afya zenu wote wawili

Kwa hiyo ni sawa kama akiendelea 'kuchakaza' nje ila akiomba kwa mke ni 'alert' mbaya...bado sijaelewa!
 
By the way wanaofanya hii makitu wengi ni wanandoa na wengine wnafanya na wanandoa wao wengine wanaogopa kuomba ndani wanakwenda kupata nje .....

Kama mume anapata nje na mke nae anapata nje kwanini waoneane aibu kuombana ndani?

Si bora tu wapate ndani humo kwa humo kwa kujevia tu?

Nimeshasikia confession nyingi kwenye mitandao ya kijamii hasa kwa wanawake kuwa 'anapenda kinyume na maumbile' lakini hawezi mpa mumewe...na wanaume wengi nao wanapenda lakini hawathubutu kuwaomba wake zao. Hii inapelekea watu baki (michepuko) kuenjoy hiyo starehe. Kama umeamua hiyo ndo starehe yako...why not kwa mkeo au mumeo!?
 
mi naona sawa mkikubaliana,mbona nje anakuwa anatoa,makubaliano yanakuwa akikosea na wewe jifanye hujui na kama unaumia lia lia kimahaba akimaliza piga kimya,,,nb watu tunanyanya 071 mbona hawakatai?
 
Nimeshasikia confession nyingi kwenye mitandao ya kijamii hasa kwa wanawake kuwa 'anapenda kinyume na maumbile' lakini hawezi mpa mumewe...na wanaume wengi nao wanapenda lakini hawathubutu kuwaomba wake zao. Hii inapelekea watu baki (michepuko) kuenjoy hiyo starehe. Kama umeamua hiyo ndo starehe yako...why not kwa mkeo au mumeo!?

Mimi nawafahamu wanawake zaidi ya wawili ambao walikuwa wanataka na waliwaambi waume zao hivyo na ndoa zikafa...

Wapo watatu ambao walisema na wanajisevia tu na waime zao ....

Kama umeamua kufanya si ufanye tu kwa uhuru? Yanini ujifiche fiche?

Unajua wengi wanaopinga haya mambo ndio wafanyaji wakubwa,kama umeamua tu kufanya kitu ni bora ukafanya kuliko kuficha ficha,sasa unamficha nani?

Kuna wengine walisema na walisaidiwa kuacha na wanandoa wao...
Kuna faida nyingi sana kusema na sio kujificha ficha!!
 
Back
Top Bottom