Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Wewe huna ndugu walevi?Nenda clouds ukahojiwe na Yule sijui zamaradi
Au fungua taasisi ya kuwatetea mashoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huna ndugu walevi?Nenda clouds ukahojiwe na Yule sijui zamaradi
Au fungua taasisi ya kuwatetea mashoga
Hata nkija kuwa na ndy ahoga nmcchinjiliaaa mbaliWewe huna ndugu walevi?
Usihukumu usije hukumiwa nduguHata nkija kuwa na ndy ahoga nmcchinjiliaaa mbali
Ovaaa
Nimekuelewa.Kwa vike ushoga hauna utofauti na ulevi basi tukubali tu utamaduni wa ushoga na tuwapende mashoga.Nina hakika mashoga wataongezeka sana baada ya hii promotion na sisi tutawapenda kama tunavyowapenda walevi.Nawapenda na kuwasapoti mashoga in the sense that nao wameumbwa na Mungu na pia wana nafasi ya kurithi Ufalme wa Mungu kama wakiacha njia zao mbaya na kutubu. Lakini hawawezi kutubu kama wasipoambiwa wanachopaswa kufanya. Na hapo ni lazima uwapende.
Kumbuka Mungu anachukia dhambi zote kwa kiwango kilekile. Mbele za Mungu, ushoga hauna tofauti na ulevi na ulevi hauna tofauti na uongo. Sisi ndiyo tunaangalia individuals lakini Mungu anaangalia dhambi kama dhambi.
Mashoga wataongezeka tu hata tusipowapenda. Issue hapa ni kujua kuwa Mungu mwenyewe anawapenda mashoga, which is the reason alimtuma Yesu ili kupitia yeye mashoga waokoke. Sasa kama Mungu mwenyewe anawapenda wenye dhambi, wewe na mimi ni nani tuwachukie?Nim
Nimekuelewa.Kwa vike ushoga hauna utofauti na ulevi basi tukubali tu utamaduni wa ushoga na tuwapende mashoga.Nina hakika mashoga wataongezeka sana baada ya hii promotion na sisi tutawapenda kama tunavyowapenda walevi.
Hakuna anayechukia mashoga.Hakuna anayechukia walevi.Ni maamuzi yao kufanya hivyo ila tunawaonea huruma kwa kuchagua maisha hayo ya giza na uchafu.Mashoga wataongezeka tu hata tusipowapenda. Issue hapa ni kujua kuwa Mungu mwenyewe anawapenda mashoga, which is the reason alimtuma Yesu ili kupitia yeye mashoga waokoke. Sasa kama Mungu mwenyewe anawapenda wenye dhambi, wewe na mimi ni nani tuwachukie?
Tatizo unatumia busara ndogo badala ya busara kubwa.Busara ndogo inatuelekeza kuna vitu ambavyo katu hatuwezi kuvifanya mathalan kutembea uchi wa mnyama hadharani au hata kuweza kukaa uchi wa mnyama chumbani kwako hata kama uko peke yako, labda ukiwa bafuni ,
tunajisitiri kwa ajili kulinda heshima ya utu wa mwanadamu sisi sio wanyama .
Kwa busara hiyo hiyo tunajadiliana na kuelimishana mambo yenye tija yanayohusu maisha yetu ya sasa na kwa ajili ya kuendeleza vizazi vyetu kama smbavyo sisi tulivyoyakuta kutoka kwa wazazi wetu,
Inaudhi sana kuona kuna vyombo vya habari vikipalilia njia ya maangamizi kwa vizazi vijavyo
wahusika wa TV hiyo leo wapo duniani baada ya kuzaliwa na baba na mama wakae wajiulize huko miaka ya nyuma kama kungekuwapo na watu wanao shawishi ushoga na jamii ya wakati huo wangeshawishika na na kuitikia bila shaka kizazi cha mwanadamu kingetoweka kwenye uso wa dunia , ni jambo ovu kupindukia wanalojaribu kulitetea na kulitangaza
Tupige kelele nyingi juu ya ufisadi huu wa ushoga usishamiri nchini kwetu
Mungu hakuumba mashoga, ushoga ni tabia waliyoiga na kuonyesha kuwa hapend na anachukia aliiangamiza kizaz chote cha sodoma na gomolaNawapenda na kuwasapoti mashoga in the sense that nao wameumbwa na Mungu na pia wana nafasi ya kurithi Ufalme wa Mungu kama wakiacha njia zao mbaya na kutubu. Lakini hawawezi kutubu kama wasipoambiwa wanachopaswa kufanya. Na hapo ni lazima uwapende.
Kumbuka Mungu anachukia dhambi zote kwa kiwango kilekile. Mbele za Mungu, ushoga hauna tofauti na ulevi na ulevi hauna tofauti na uongo. Sisi ndiyo tunaangalia individuals lakini Mungu anaangalia dhambi kama dhambi.
Sina uhakika kama unaelewa unachoongea. Ili uelewe unachoongea, jielimishe juu ya tofauti kati ya "shoga" na "ushoga".Mungu hakuumba mashoga, ushoga ni tabia waliyoiga na kuonyesha kuwa hapend na anachukia aliiangamiza kizaz chote cha sodoma na gomola
Nijielimishe nini huna hoja za kutetea ushoga ni hali wkt shoga ni MTU anayepratice ushoga nisichoelewa nnSina uhakika kama unaelewa unachoongea. Ili uelewe unachoongea, jielimishe juu ya tofauti kati ya "shoga" na "ushoga".
teh teh nakuhurumia kweli maana hujielewi na hauelewi umeandika nini!!Mungu hakuumba mashoga, ushoga ni tabia waliyoiga na kuonyesha kuwa hapend na anachukia aliiangamiza kizaz chote cha sodoma na gomola
Shoga ni mtu anayepractice ushoga kama ulivyosema. Usichoelewa ni kuwa ushoga in kitendo. Sasa huwezi kutatua tatizo kwa kuchukia mtu anayepractice ushoga. Watu wanazaliwa kila siku.Nijielimishe nini huna hoja za kutetea ushoga ni hali wkt shoga ni MTU anayepratice ushoga nisichoelewa nn
Sasa Clouds walinadi ushoga lini?Hakuna anayechukia mashoga.Hakuna anayechukia walevi.Ni maamuzi yao kufanya hivyo ila tunawaonea huruma kwa kuchagua maisha hayo ya giza na uchafu.
Tunachochukia ni tabia za kunadi tabia hizi mbaya kama ushoga.Na ukumbuke waathirika wakubwa wa hizi promosheni ni watoto na teenagers.