Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwa uelewa wangu kama Clouds tv itaendelea kuhoji mashoga kwa mtindo huo ni kuutangaza ushoga laivu. Kwanza shoga aliachiwa ajitangaze lkn pia aonyeshe kuwa ati kuna wanaume wenye hali ya kuingiliwa kwenye njia ya haja kubwa na kujisikia raha kama au kuzidi raha ya tendo la kawaida la ndoa. Pia ilionyesha ni haki yao kufanyiwa tendo hilo, lkn pia hakuna mwenye mamlaka kuwakatalia. Nini faida ya kipindi kile inafanana na vipindi vyao vingi vya masihara masihara, kwenye swala la kinyume cha maumbile lisifanywe kuwa la masihara. Hawa watu watafutwe wafungwe jela tena vifungo vya muda mrefu akamatwe yule kaoge apate miaka yake 30 amekiri hadharani na kile kipindi kirushwe tena kikionyesha alivyoshughulikiwa yule baradhuri mtenda uovu ibilisi mkubwa.
 
Clouds wanatetea haki za mashoga.Ushoga ni kipaumbele chao nambari moja.
 
Nim
Nawapenda na kuwasapoti mashoga in the sense that nao wameumbwa na Mungu na pia wana nafasi ya kurithi Ufalme wa Mungu kama wakiacha njia zao mbaya na kutubu. Lakini hawawezi kutubu kama wasipoambiwa wanachopaswa kufanya. Na hapo ni lazima uwapende.

Kumbuka Mungu anachukia dhambi zote kwa kiwango kilekile. Mbele za Mungu, ushoga hauna tofauti na ulevi na ulevi hauna tofauti na uongo. Sisi ndiyo tunaangalia individuals lakini Mungu anaangalia dhambi kama dhambi.
Nimekuelewa.Kwa vike ushoga hauna utofauti na ulevi basi tukubali tu utamaduni wa ushoga na tuwapende mashoga.Nina hakika mashoga wataongezeka sana baada ya hii promotion na sisi tutawapenda kama tunavyowapenda walevi.
 
Huyo mnayemwita mkuu nae si keshaonyesha mahaba kwa kutafuta line yao katika kipindi chao cha jioni mpaka akaipata na kuanza kuimwagia sifa lukuki, Hivyo tv inaamini haiwezi kuangushwa na mamlaka ya mawasiliano wakati mfalme wamemshika wao tena kwa mikono miwili" We ushawahi kuona wapi mfalme anapiga simu kwenye media! Unajua balaa la kuipata ile line!
 
Nim

Nimekuelewa.Kwa vike ushoga hauna utofauti na ulevi basi tukubali tu utamaduni wa ushoga na tuwapende mashoga.Nina hakika mashoga wataongezeka sana baada ya hii promotion na sisi tutawapenda kama tunavyowapenda walevi.
Mashoga wataongezeka tu hata tusipowapenda. Issue hapa ni kujua kuwa Mungu mwenyewe anawapenda mashoga, which is the reason alimtuma Yesu ili kupitia yeye mashoga waokoke. Sasa kama Mungu mwenyewe anawapenda wenye dhambi, wewe na mimi ni nani tuwachukie?
 
Hakuna anayechukia mashoga.Hakuna anayechukia walevi.Ni maamuzi yao kufanya hivyo ila tunawaonea huruma kwa kuchagua maisha hayo ya giza na uchafu.
Tunachochukia ni tabia za kunadi tabia hizi mbaya kama ushoga.Na ukumbuke waathirika wakubwa wa hizi promosheni ni watoto na teenagers.
 
Marehemu Remy Ongala alijaribu kuwatahadharisha watu kujikinga na gonjwa la UKIMWI kwa kuimba mambo kwa SOKSI buree bila malipo, na wimbo wenyewe ukafungiwa. Leo hii wanalipia pesa nyingi sana kutangaza hadharani watu kujikinga kutumia condom. Itazuiliwa sasa kukemea ushoga hadharani ila siku zijazo itakemewa hadharani machozi ya kit u to a wakati jambo limepamba moto. Kwa utatandawazi huu bora kuwe na uhuru wa watu kuelezea madhara ya jambo hili tusisubiri mpaka chuma kikoli moto. Mungu ibariki Tanzania
 
Busara ndogo inatuelekeza kuna vitu ambavyo katu hatuwezi kuvifanya mathalan kutembea uchi wa mnyama hadharani au hata kuweza kukaa uchi wa mnyama chumbani kwako hata kama uko peke yako, labda ukiwa bafuni ,

tunajisitiri kwa ajili kulinda heshima ya utu wa mwanadamu sisi sio wanyama .

Kwa busara hiyo hiyo tunajadiliana na kuelimishana mambo yenye tija yanayohusu maisha yetu ya sasa na kwa ajili ya kuendeleza vizazi vyetu kama smbavyo sisi tulivyoyakuta kutoka kwa wazazi wetu,

Inaudhi sana kuona kuna vyombo vya habari vikipalilia njia ya maangamizi kwa vizazi vijavyo

wahusika wa TV hiyo leo wapo duniani baada ya kuzaliwa na baba na mama wakae wajiulize huko miaka ya nyuma kama kungekuwapo na watu wanao shawishi ushoga na jamii ya wakati huo wangeshawishika na na kuitikia bila shaka kizazi cha mwanadamu kingetoweka kwenye uso wa dunia , ni jambo ovu kupindukia wanalojaribu kulitetea na kulitangaza

Tupige kelele nyingi juu ya ufisadi huu wa ushoga usishamiri nchini kwetu
Tatizo unatumia busara ndogo badala ya busara kubwa.

Mtu akiamua kukaa uchi chumbani kwake wewe inakuhusu nini?
 
Nawapenda na kuwasapoti mashoga in the sense that nao wameumbwa na Mungu na pia wana nafasi ya kurithi Ufalme wa Mungu kama wakiacha njia zao mbaya na kutubu. Lakini hawawezi kutubu kama wasipoambiwa wanachopaswa kufanya. Na hapo ni lazima uwapende.

Kumbuka Mungu anachukia dhambi zote kwa kiwango kilekile. Mbele za Mungu, ushoga hauna tofauti na ulevi na ulevi hauna tofauti na uongo. Sisi ndiyo tunaangalia individuals lakini Mungu anaangalia dhambi kama dhambi.
Mungu hakuumba mashoga, ushoga ni tabia waliyoiga na kuonyesha kuwa hapend na anachukia aliiangamiza kizaz chote cha sodoma na gomola
 
Je kama ni adhabu kwa Clouds TV peke yake, je na yule shoga aliyekuwa anahojiwa hapo naye atapewa adhabu gani? Clouds komaeni hapo hapo hakuna kuomba msamaha!
 
Mungu hakuumba mashoga, ushoga ni tabia waliyoiga na kuonyesha kuwa hapend na anachukia aliiangamiza kizaz chote cha sodoma na gomola
Sina uhakika kama unaelewa unachoongea. Ili uelewe unachoongea, jielimishe juu ya tofauti kati ya "shoga" na "ushoga".
 
Sina uhakika kama unaelewa unachoongea. Ili uelewe unachoongea, jielimishe juu ya tofauti kati ya "shoga" na "ushoga".
Nijielimishe nini huna hoja za kutetea ushoga ni hali wkt shoga ni MTU anayepratice ushoga nisichoelewa nn
 
Mungu hakuumba mashoga, ushoga ni tabia waliyoiga na kuonyesha kuwa hapend na anachukia aliiangamiza kizaz chote cha sodoma na gomola
teh teh nakuhurumia kweli maana hujielewi na hauelewi umeandika nini!!
 
Nijielimishe nini huna hoja za kutetea ushoga ni hali wkt shoga ni MTU anayepratice ushoga nisichoelewa nn
Shoga ni mtu anayepractice ushoga kama ulivyosema. Usichoelewa ni kuwa ushoga in kitendo. Sasa huwezi kutatua tatizo kwa kuchukia mtu anayepractice ushoga. Watu wanazaliwa kila siku.
 
Hakuna anayechukia mashoga.Hakuna anayechukia walevi.Ni maamuzi yao kufanya hivyo ila tunawaonea huruma kwa kuchagua maisha hayo ya giza na uchafu.
Tunachochukia ni tabia za kunadi tabia hizi mbaya kama ushoga.Na ukumbuke waathirika wakubwa wa hizi promosheni ni watoto na teenagers.
Sasa Clouds walinadi ushoga lini?
 
Back
Top Bottom