Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

mwanamke ******** n asiyejua thamani take ndo atakubali mapenzi kinyume na maumbile

mbele kwenyewe nanga inapaa....!!mpk kunachubuka....

huko nyuma si majanga!!!!
Geniveros si kuna ili inaitwa KY,yaani ni kuteleza kama kwenye barafu,mbele kunachubuka?,daah basi mwenza wako amejaaliwa mrembo.
 
Kwahiyo unataka kuwadanganya wenzio kuwa hii makitu huifanyagi?

Ukileta ujinga ntaweka ushahidi hapa....🙄🙄😀😀😀
Hahahah....yaishe basi jamani.
Hii kitu siwezi hata nishawishiwe vipi.
Maumivu yake nayajua.
 
Cha kushangaza aliyekufanya hivyo anaingia mitini.
Wengi wanaofanya huo mchezo siyo waoaji ni wapitaji tu
huwa nasikitika na kuwaonea huruma wanawake wanaofanya huo mchezo
Ni hatari sana kwa afya ya mama
Huyo mdada aliharibiwa na mwarabu tena kamkimbia sasa kamwoa mwarabu mwenzake, ila yule Dada yupo tu na kujifungua alihangaika, na aliyempa ujauzito kamwacha, ndo mana wanaume hufanya hyo michezo kwa michepuko.
 
Tatizo la wanaume na wanawake wengi, hasa walioko kwenye ndoa, ni unafiki. Mtu anajifanya mwenye mstaarabu machoni pa watu kumbe akiwa sirini ni wa hovyo kabisa.
Yes, ukute hata wanaume wanaochangia hapa kukataa, huko uraiani ni vurugu tupu....wanaendeleza libeneke lao....😛
 
Utashtakiwa kwenye mahakama ya mahaba.... huwezi linganisha mapenzi na ukichaa. Ila mapenzi na uchafu ndio mtindo wa kisasa.

Uzuri mi nshazeeka, nawasomeni tu.
Hahaaaaa umenichekesha babu wewe mi kufanyana hicho kitendo ni ukosefu wa akili na kuiga tu aisee binadamu aliyetimamu mwenye hofu ya Mungu hafanyi huo mchezo
 
Back
Top Bottom