Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Watu wanaongelea hili kama kitu cha kawaida, tunaiga tu kila kitu lakini kwa mujibu wa Ripoti za kitabibu wenzetu walioanzisha haya wako vizuri sana katika ku maintain usafi na kwa hali ya juu kabisa hospitali zao zimejaa madawa ya kutibu magonjwa yanayotokana na athari za tendo lenyewe. Kibaya zaidi nyuma kuna nerves nyingi ambazo zinampa mtu raha ya ajabu lakini pia kuna mamilioni ya bacteria na athari zake ni kubwa mno. Rafiki yangu mmoja daktari aliwahi kuniambia hakuna kisichotibika ila matibabu yake sasa gharama kubwa mnona alinipa stori za jinsi watu na hasa wadada wanavyokwenda Muhimbili na vilio, wanapata maumivu na wengine wanashindwa hata kukaa, na wengi tayari dalili za kansa zimeanza kuonekane. Tunatakiwa tuwatahadharishe sana mabinti zetu ndugu jamaa na marafiki juu ya mchezo huu umeingia kwa kasi na sasa hauzuiliki tena
Aisee!!!!!!
 
kaoe kijijini mkuu hilo ndo suluhusho
Kijijin ndo balaa kabisa kunadada mmoja jiran anahuo mchezo hataki watu wazima wenzie yeye anataka vijana wadogoo ili wamkune vizuri sasa wale vijana anawaharibu kwani nao wakienda kwa mabinti wadogowadogo wanataka wapewe tigo kwahyo hili janga hakuna penye afazali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo vip!!
Kiukweli kwa nyakati hizi wanaume ambao tunania Ya kuoa tunawakati mgumu na changamoto kubwa sana.

Naamini kwa mwanaume mwenye maadali na mwenye hofu Ya Mungu, akimuoa mwanamke mwenye tabia ya kutoa kinyume na maumbile Mungu aliyohalalisha, itakuwa ni fedheha kubwa na laana hata katika watoto mtakao wazaa.

Kwa siku hizi, hii tabia inaonekana ni kwenda na wakati au ujanja fulani Kwa msichana au mwanaume kufanya hivyo..

Hii tabia haitaacha, hii new generation salama,kwasababu inaenea kwa kasi kama Moto wa petroli.

Inasikitisha sana, tena sana... Imaging umemuoa mtu mwenye tabia kama hizi..nawanasema kama alishazoeshwa lazima atamtafuta mwanaume mwenye kutumia kule ili awezekuridhika,sasa hii ndoa itakuwa salama kweli ,anyway kwa baadhi Ya wanaume mnaependa kutumia kule kwenu sawa tu..

Sasa ilikuepuka kuingia kwenye ndoa na mwanamke mwenye tabia kama hizi utafanyaje uweze kugundua mapema..?
Ila hii haina mahusiano na watoto utakaozaa.. Na kwa jinsi hali ilivyo ukimpata mzima ni nadra sana na kamwe hawezi kukwambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laanaa hiyo!!! unakubali Dada yako au shangazi yako au mama yako kufanyiwa tendo hilo?? Kama hupendi acha mchezo huo mara moja, kumbuka kuwa muosha huoshwa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani muwe mnaongea Point. Sio kila kitu mnasingizia tu kusema Ni LAANA. acheni huu upumbavu jamani.

Na ukumbuke wanawake wengine wanafurahia kufanyiwa hivi sasa mtu kama huyo wewe inakuhusu nini? Wee linda makalio yako tu hapa duniani , mengine hayakuhusu , hata kama ni ya nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna jamaa yangu tulienda kiwanja fulani tukaopoa mademu kila mtu na wake. asubuhi tunatoka lodge ana nipa story kapakua sana kisanvu. sasa jamaa ikafika hatua akamuoa yule demu.ambaye ni shemeji yangu kwa sasa na wana watoto wawili huwa nikiwa tembelea lile jambo alilo niambia halija wahi toka kichwani
 
Dunia inaenda kasi sana.Hili swala la watu kutumia 0713 soon litakuwa janga la kila mtu.
Na kweli inatia hofu sana kwenye uoaji.
Mm nashauri kabla ya kuoa ni bora uende kwa watalaam wa afya.
Assesment ya fasta tu tunajua hii imeliwa au iko intact.
Pole sana kizazi chetu hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna jamaa yangu tulienda kiwanja fulani tukaopoa mademu kila mtu na wake. asubuhi tunatoka lodge ana nipa story kapakua sana kisanvu. sasa jamaa ikafika hatua akamuoa yule demu.ambaye ni shemeji yangu kwa sasa na wana watoto wawili huwa nikiwa tembelea lile jambo alilo niambia halija wahi toka kichwani
Alinogewa atakuwa anatafuna aisee

Ohooooo!!!!
 
Back
Top Bottom