Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio uchochezi ni namtahadharisha tu[emoji12]
Anza kukaa mguu pandeyaan huyu jirani Ney naona nifunge tu kwa maombi maana sijui kuna nini hapo katikati...nimejaribu hata kuwa rafiki yake sana ila my Dirty head wangu nae anamtetea.
Sasa hapo nakuwa njia panda
Ndo nakushangaa maana kutwa kucha kiguu na njia kutafuta shilingi na sizipati, wewe unasema umaskini na uvivu ni mapacha[emoji53]
acha hizo nitie moyo jaman looohAnza kukaa mguu pande
Huo sio msamaha sasa, maana ya msamaha ni kuweka pembeni tofauti zenu na kuendelea kama mlivyokua awali.Nimeshamsamehe, ila moyo hauwezi kumpenda tena kwani ameshauharibu kwa jeraha alilousababishia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nafuta kauli looh! Maana ulivyo na moyo mwepesi tusije tukakupotezaacha hizo nitie moyo jaman loooh
Maandiko yanasema kila jambo na wakati wake.Ndo nakushangaa maana kutwa kucha kiguu na njia kutafuta shilingi na sizipati, wewe unasema umaskini na uvivu ni mapacha[emoji53]
Hivi wewe unasoma biblia gani lakini? Kwahiyo ukiua, ili usamehewe inabidi umfufue kwanza uliyemuua?Huo sio msamaha sasa, maana ya msamaha ni kuweka pembeni tofauti zenu na kuendelea kama mlivyokua awali.
Vinginevyo huo msamaha wako haujakamilika[emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanitafuta nikajua umebanwa.
Usimsikilize huyo, kumbuka tumeambiwa amtegemeae mwanadamu amepotoka.acha hizo nitie moyo jaman loooh
Hapo ndipo maandiko yanaponishinda, maana huo wakati naona unakaribia ukingoni na sijaona la maanaMaandiko yanasema kila jambo na wakati wake.
Hakuna wakati mzuri kama wakati wa Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina baba mchungajiUsimsikilize huyo, kumbuka tumeambiwa amtegemeae mwanadamu amepotoka.
Endelea kusimama sehemu yako na Mungu hatakuacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bella namkubali sanaAmerudi analiaaaaaaaaaaaaaaaaa jamanai analia Amerudi analiaaaaaaaa.....
Amerud analia sijui nifanyejeeee Aliponiacha nililiaa sanaaaaa... Bella huwa hakosei.
amina my kaka, Mungu akubariki sanaUsimsikilize huyo, kumbuka tumeambiwa amtegemeae mwanadamu amepotoka.
Endelea kusimama sehemu yako na Mungu hatakuacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
asante...hapo unakuja vizuriHata usijali, ney hawezi kukutenda ubaya mkuu kiasi hicho[emoji4] [emoji4]