Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Hivi wewe unasoma biblia gani lakini? Kwahiyo ukiua, ili usamehewe inabidi umfufue kwanza uliyemuua?
Umesahau sina bible nyingine zaidi ya ile ya kiebrania.

Sidhani kama nimeulewa mfano wako.

Hio aina yako ya msamaha ni sawa na wewe utubu dhambi zako kwa Mungu alafu akuambie nimekusamehe lakini siwezi kukupokea tena kwangu tafuta Mungu mwingine. Hivi iko hivyo kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule ni mume wa mtu mpaka kifo kitakapowatenganisha. Huyo Mungu tu anakusamehe lakini mapigo unayapata vizuri tu. Mfano mtu akizini akapata UKIMWI, Mungu atamsamehe ila UKIMWI atabaki nao tu
 
Yule ni mume wa mtu mpaka kifo kitakapowatenganisha. Huyo Mungu tu anakusamehe lakini mapigo unayapata vizuri tu. Mfano mtu akizini akapata UKIMWI, Mungu atamsamehe ila UKIMWI atabaki nao tu
Maandiko yameruhusu kutoa talaka kwa "mzinzi' (mtoto katoka mwarabu).

Ukimwi humpata humpata hata asiye mzinzi, sio adhabu.

Kama Mungu hutoa adhabu kwa watenda dhambi, na mtenda dhambi mwisho wa siku akaomba msamaha je Mungu humsamehe na kumpokea tena au humsamehe na kumwambia hana nafasi tena kwake?

Kauli mbiu;- kama umeamua kutoa msamaha toa msamaha wa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom