Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Mwanamke kama unamuheshimu hauwezi kumuuliza.Dah,,,,njia rahisi kuliko zote ni KUMUULIZA.....😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke kama unamuheshimu hauwezi kumuuliza.Dah,,,,njia rahisi kuliko zote ni KUMUULIZA.....😎
Omba MUNGU asikutane na WAHUNI MKUU,, WAHUNI sio watu WAZURI,,,Sio wanawake wote wa hivyo, kuna ambao wanahofu Ya Mungu
Ni ngumu sana kumjua sababu wengine wanajua huo mchezo sio mzuri na wao wanataka kuolewa hivo basi huficha makucha yao kwako ili apate ndoa tuHapo vip!!
Kiukweli kwa nyakati hizi wanaume ambao tunania yakuoa tunawakati mgumu na changamoto kubwa sana.
Naamini kwa mwanaume mwenye maadali na mwenye hofu ya Mungu, akimuoa mwanamke mwenye tabia ya kutoa kinyume na maumbile Mungu aliyohalalisha, itakuwa ni fedheha kubwa na laana hata katika watoto mtakao wazaa.
Kwa siku hizi, hii tabia inaonekana ni kwenda na wakati au ujanja fulani kwa msichana au mwanaume kufanya hivyo..
Hii tabia haitaacha, hii new generation salama,kwasababu inaenea kwa kasi kama moto wa petroli.
Inasikitisha sana, tena sana fikiria umemuoa mtu mwenye tabia kama hizi nawanasema kama alishazoeshwa lazima atamtafuta mwanaume mwenye kutumia kule ili awezekuridhika,sasa hii ndoa itakuwa salama kweli ,anyway kwa baadhi ya wanaume mnaependa kutumia kule kwenu sawa tu..
Sasa ili kuepuka kuingia kwenye ndoa na mwanamke mwenye tabia kama hizi utafanyaje uweze kugundua mapema..?
Dah...huo ndiyo unafiki...Kama unamuheshimu kwanini umchunguze Sasa?[emoji35]Mwanamke kama unamuheshimu hauwezi kumuuliza.
Mbona rahisi sana mkuuu?Mkuu unadhani ni namna gan unaweza mtambua mfilwaji?
Bikitra zinapaikana kweli..Suluhisho ni kuowa bikra.
Wengine wanafanya kwa kuiga.wakikaa saluni wanadanganyana.ukitaka mwanaume akupende mpe emergency door.
Kiukweli si mchezo mzuri.kuna demu alishawahi kunihadithia walikwenda kujifungua na mwanamke wa kiarabu.
Yule dada kila akiambiwa sukumaaa.
Mtoto anataka kutoka nyuma.wanamrudisha na yule dada wakamuekea matambala.
Nikamuulize kwanini mtoto akimbilie kupita nyuma?akanijibu njia ya NYUMA IPO BONDENI.
NA YA MBELE IPO MLIMANI.
dogo anafuata mteremko.
WACHENI HUU MCHEZO.MTAWAPA SHIDA Hao wanawake.
vipi ulimla?Mi nlimpataga mmoja mtoto wa miaka 18 akaniambia niandae mafuta anataka nimle nyuma

Tatizo ni picha uliyotumia ina madhara kuliko madhara ya kuruka ukuta.Mchezo huu umekuwa ukipendwa sana na wanaume wengi ambao wengi wao huwa hawatumii kinga na kusababisha wengi kupata magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU).
Lakini mchezo wa kuruka ukuta umekuwa na madhara makubwa sana kwa wanaume wanaoufanya kwa muda mrefu.
Tulipoangalia upande wa wanawake, tuliona sehemu kubwa ya wanaopenda mchezo huu ni wanaume ambao wengine wamebatizwa majina ya ‘basha’, wakimaanisha mwanaume mpenda kuruka ukuta bila kuangalia ni wa mwanaume mwenzake au wa mwanamke.
Kwa vile nia ya kona hii ni kuelimisha madhara ya mtu kupenda kuruka
ukuta ili aache mara moja, tunaendelea kutoa elimu ya bure ili mtu yakimkuta ajue yamempata kwa kiburi chake na kwa kupenda starehe ya kipuuzi.
Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo ni kama ifuatavyo:
Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.
Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.
Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).
Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.
Tano: Kuharisha.
Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi).
Saba: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.
Nina imani ndugu yangu umeona madhara mabaya sana ya tabia hiyo mbaya. Inawezekana umezoea mchezo huo wa kuwaingilia wenzako na kuona raha lakini tumeona madhara yake, ambayo kwa hakika kama wewe ni mmoja wao, unatakiwa kuacha mara moja kwa vile mwisho wake ni majuto na mateso.
Jiepushe kuiga mambo bila kujua faida na hasara zake pia usimtie mwenzako majaribuni kwa kumlazimisha kuingia kwenye mchezo huo. Wanawake wengi wamekuwa wakilazimishwa na wanaume kuingiliwa kinyume na maumbile kwa kuwatishia kuwaacha kama watakataa.
Swali linakuja, kipi bora, kuharibiwa au kuachana?
Kumbuka baada ya kuharibikiwa, thamani yako hushuka na sifa yako ikiwafikia waharibifu wa watu, basi unageuzwa jamvi la mtaa na hatimaye unakufa kwa msongo wa mawazo au mateso ya ugonjwa utakaupata baada ya kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile.
Unaweza kushangaa baada ya kuelezea madhara yanayowapata wanaume nimehamia kwa wanawake. Ukweli mchezo huu umewaathiri sana wanawake ambao wengi wanaujutia.