Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Mchezo huu umekuwa ukipendwa sana na wanaume wengi ambao wengi wao huwa hawatumii kinga na kusababisha wengi kupata magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU).

Lakini mchezo wa kuruka ukuta umekuwa na madhara makubwa sana kwa wanaume wanaoufanya kwa muda mrefu.

Tulipoangalia upande wa wanawake, tuliona sehemu kubwa ya wanaopenda mchezo huu ni wanaume ambao wengine wamebatizwa majina ya ‘basha’, wakimaanisha mwanaume mpenda kuruka ukuta bila kuangalia ni wa mwanaume mwenzake au wa mwanamke.



Kwa vile nia ya kona hii ni kuelimisha madhara ya mtu kupenda kuruka
ukuta ili aache mara moja, tunaendelea kutoa elimu ya bure ili mtu yakimkuta ajue yamempata kwa kiburi chake na kwa kupenda starehe ya kipuuzi.

Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo ni kama ifuatavyo:

Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.

Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.

Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).

Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.

Tano: Kuharisha.

Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi).

Saba: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.

Nina imani ndugu yangu umeona madhara mabaya sana ya tabia hiyo mbaya. Inawezekana umezoea mchezo huo wa kuwaingilia wenzako na kuona raha lakini tumeona madhara yake, ambayo kwa hakika kama wewe ni mmoja wao, unatakiwa kuacha mara moja kwa vile mwisho wake ni majuto na mateso.

Jiepushe kuiga mambo bila kujua faida na hasara zake pia usimtie mwenzako majaribuni kwa kumlazimisha kuingia kwenye mchezo huo. Wanawake wengi wamekuwa wakilazimishwa na wanaume kuingiliwa kinyume na maumbile kwa kuwatishia kuwaacha kama watakataa.
Swali linakuja, kipi bora, kuharibiwa au kuachana?
Kumbuka baada ya kuharibikiwa, thamani yako hushuka na sifa yako ikiwafikia waharibifu wa watu, basi unageuzwa jamvi la mtaa na hatimaye unakufa kwa msongo wa mawazo au mateso ya ugonjwa utakaupata baada ya kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile.

Unaweza kushangaa baada ya kuelezea madhara yanayowapata wanaume nimehamia kwa wanawake. Ukweli mchezo huu umewaathiri sana wanawake ambao wengi wanaujutia.
Hio sentesi yako ya kwanza siiungi mkono mheshimiwa mwandishi wa huu uzi, si wanaume tu ndo wanaopenda kuruka ukuta, hata wadada wapo, tena wengi, halafu wao kwa wao ndo wanashikana maskio "eti ukitaka kumkamata bwana wako asichepuke we mpe nukta tu (nimetumia neno nukta kupunguza ukali wa maneno)"..... Halafu wanaume wasioruka ukuta tunaitwa washamba... Nlishapigwa kibuti na mwanamke kisa nimegoma kumcheki oil

Mengine, hayo madhara nayaunga mkono mheshimiwa mwandishi
 
Naongezea ,madhara mengine ni kwamba ukishazoea kula au kuliwa kisoda hutoridhika tena na mapenzi kwa njia ya kawaida iwe ni mwanaume au mwanamke,hapo sasa ndo utaonekana kituko kwa sababu utalazimisha hata kwa kilio au madau ya pesa kiwango kikubwa
 
Usipomruka ukuta mwanamke wa Dar atakusema kwamba huwezi kazi. Mara nyingi wenyewe humchangamkia abdala kichwa wazi wakishamtoa mdomoni vile vile amelowa mate mzee wa watu wansmtumbukiza kusikojulikana. Mwanamme unajikuta unapata raha maradufu.
 
Mbona umewawekea na hamasa,yaani huwez Amini kwa hyo picha tuu kuna wanaowazibua vyoo wenzao muda huu
 
Back
Top Bottom