Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

ATHARI ZA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE ( TIGO)

napenda nizungumzie athari 2 kubwa zinazotokana na kufanya mapenzi katika njia ya haja kubwa .

Wanaume waliowengi hivi sasa wamekuwa wakitamani
kuwaingilia wapenzi wao kinyume na maumbile kwa
lengo la kutaka kujiridhisha wao pasipo kujua athari zake na
katika hili athari hazimpati mwanaume tu bali hata kwa mwanamke.......

Athari zake:
Athari ya kwanza: KUZIBA KWA NJIA YA KUPITISHIA MKOJO

kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile kwa upande wa wanaume kunaweza kusababisha kuziba mrija uliopo kwenye uume unaopitisha mkojo, kwani pindi unapokuwa na mpenzi wako unatumia sehemu hii ya matakoni....

Tukumbuke kuwa sehemu hii ina chembe chembe za haja kubwa/mavi zinazokuwa zinapita kwenye lile tundu la kutolea mkojo, na endapo utakuwa unaendelea kutumia sehemu hii utajikuta zile chembe chembe zinajaa kwenye mrija hivyo itafikia kipindi mkojo utakuwa unashindwa kupita kwenye njia yake mpaka uende hospital wafanye upasuaji waweze kusafisha njia. ....AIBU..

Athari ya Pili: KUPANUKA KWA NJIA YA HAJA KUBWA NA KUSABABISHA KUTOKWA NA"MAVI" PINDI MWANAMKE ANAPOTAKA KUZAA

Athari hii hutokea kwa mwanamke ambae amezoea kuingiliwa kinyume na maumbile ...

Tatizo hutokea pindi anapotaka kuzaa, mwanamke anaeingiliwa kinyume na maumbile kwa muda mrefu ile sehemu yake ya haja kubwa hutanuka na kupelekea mishipa iliyozunguka sehemu ile kulegea hivyo inapotokea anahitaji kujifungua/kuzaa inabidi atumie nguvu nyingi katika kumsukuma mtoto ili aweze kutoka ....

Kutokana na mishipa ya ile sehemu yake ya haja kubwa kuwa imelegea,mwanamke hukosa nguvu ya kuziba eneo lile hivyo kipindi anajikema kumtoa mtoto ni rahisi mavi kutoka kwani njia itakuwa imetanuka na mishipa haifanyi kazi.

mkuu ahsante kwa ujumbe. Nitautangaza kwa vijana wote ambao wanadhani ni umaarufu au ni sifa kufanya haya mambo. Wakati mwingine uje na mada kwa nini siku hizi watu wengi hasa vijana hupenda hili suala.

ila nakupongeza kwa kuweka awareness kwa jamii kuhusu haya madhara. anayeleta ligi ni kwa sababu ujumbe wenda umemgusa au anataka kuutetea huu ushetani.
ahsante.
 
NImependa sana Riwa alivyoapproach mada... he has answered my two questions very well, kwamba wapo wanaoziba bila kula tigo na wapo wanaokunya bila kuingiliwa

I think tunapojadili mada za afya ni vizuri sana kuwa well informed na kuweka emotional attachments pembeni

there is a lot to learn when it comes to giving right information about human health
 
Vyote inavyosemekana ni VITAMU lakini kinyumbe na MPANGO WA MUNGU ............ UTAMU HUO UTAGEUKA UCHUNGU SIKU MOJA ............. kwanini watu wasiishi kama Mungu alivyopanga??? HATA WANYAMA HAWAFANYI USODOMA KIASI HICHO

Mungu kaumba kila kitu - na kina utaratibu .........LAKINI WENYE ROHO YA KUMPINGUA MUNGU (USHETANI) kila uchao wanabuni lingine ......... e.g. TIGO .......... shame and I said shame!!!
 
mm ninachojua kinadada waliozaliwa 1980 na kuendelea halafu anakunywa pombe au aliwahi kunywa pombe bac watu kushapiga mtandao.
 
Vyote inavyosemekana ni VITAMU lakini kinyumbe na MPANGO WA MUNGU ............ UTAMU HUO UTAGEUKA UCHUNGU SIKU MOJA ............. kwanini watu wasiishi kama Mungu alivyopanga??? HATA WANYAMA HAWAFANYI USODOMA KIASI HICHO

Mungu kaumba kila kitu - na kina utaratibu .........LAKINI WENYE ROHO YA KUMPINGUA MUNGU (USHETANI) kila uchao wanabuni lingine ......... e.g. TIGO .......... shame and I said shame!!!

katika hii Dunia ya sasa...kuna watu wengi tu ambao hawamuamini Mungu...angalia Ulaya na Magharibi, wapo watu kabisaaaa wanaamini hakuna Mungu..sasa watu kama hawa ukijenga logic yako juu ya Mungu, wao haimake sense kwao hata kidogo! Na kati ya hao, wapo wanaofanya mema (bila hata kumjua Mungu)..na wapo wanaofanya ubazazi, na they dont feel guilty after that kwa kuwa hawaamini chochote kuhusu Mungu!

Kwa hiyo si kila atendaye 'ushetani' anafanya hivyo 'kumpingua' Mungu..kuna wengine wanafanya wakiwa hawaamini wafanyalo ni dhambi. Na kama hakuna sheria ya kuwabana..basi tena, hatendi dhambi wala havunji sheria. Mfano Tanzania, kulawiti ni Jinai, hata kama huamini Mungu...sheria inakubana. Ukifanya utajiskia hatia aidha kwa kufanya dhambi (kama unaamini Mungu) au jinai. Wakati Marekani kulawiti si kosa la jinai, na kama huamini Mungu basi si dhambi...nini kitakuzuia usienjoy tiGO!?
 
Mkuu, heshima yako,
Vipi wewe binafsi upo upande gani, watu waendelee na huo mchezo au kuna haja ya kuachana nao hasa linapokuja suala la afya ukiacha mungu na sheria pembeni, wewe binafsi unasemeaje?

Maswali mengine twamuonea MziziMkavu swali hapa ni sisi kujiuliza je Mungu aliumba hiyo sehemu ya tiGO kutumika kwa ajili ya mapenzi?
Kama ndivyo kwanini mwanamke aliumbwa kama tungeweza jitosheleza wenyewe?
Tukumbuke pia Sodoma na Gomora iliangamizwa sababu ya haya mambo ya tiGO wakadiriki hata kuwataka Malaika.
Mungu wetu ni mkamilifu na kila kitu mwilini aliumba kwa specific reasons haya tuyafanyayo leo ni kumkubali shetani na Mungu alisema chagua kati ya kuwa moto au baridi (Either uko kwa Mungu or kwa shetani)
Pia kama ilivyokuwa siku za Nuhu ndivyo ilivyo hata sasa wale waliangamizwa na maji waliona umuhimu wa SAFINA baada ya maji kuwafika shingoni hata leo Wengi wetu hatuamini kuwa inamadhara ila yakikutokea ndio utaamini na itakuwa too late .
Kumbukeni kuna moto siku ya mwisho na kila neno litaletwa hukumuni.

ni hayo tu
 
Last edited by a moderator:
Anal sex..........

Anal sex has always been a highly controversial subject, and the controversy that surrounds it looks set to continue into 2012 because evidence accumulates that this practice may sometimes lead to anal cancer.

What is it?

Anal sex means sexual activity involving the bottom – in particular, the type of intercourse in which the penis goes into the anus. It's often referred to as 'rectal sex'.

Anal sex does carry considerable health risks, so please read our advice carefully.

Our impression is that anal sex has become rather more common in heterosexual couples, partly because they have watched 'blue movies' in which this activity so often occurs.

One small study carried out in 2009 suggested that in the UK, 30 per cent of pornographic DVDs feature rectal intercourse. Often, it is presented as something that is both routine and painless for women. In real life, this is not the case.

Other types of sexual activity which involve the anus include:

  • 'postillionage' – which means putting a finger into the partner's bottom
  • insertion of 'butt plugs' – which are sex toys that dilate the anal opening and create a sensation of fullness
  • use of vibrators on or in the anus (please see cautionary note below)
  • 'rimming' – which is oral-anal contact; this carries a significant risk of infection
  • 'fisting' – which means putting the hand into the rectum; this activity is rare among heterosexual couples.

Taboos and infection

There are taboos surrounding the various types of anal sex – and particularly anal intercourse.
These may arouse strong feelings of moral indignation, guilt and anxiety.
It is important to remember that while some people find these activities repugnant, others may find them stimulating, exciting and a normal part of their sexual intimacy.

Research shows that, whether we like it or not, the anal area is equipped with many erotic nerve endings – in both men and women.

So it's not surprising that many couples (including a lot of heterosexual ones) derive pleasure from some form of 'bottom stimulation'.

What about infection? Most sexual activities carry a risk of transmission of sexually transmitted diseases (STDs) ranging from gonorrhoea and herpes to hepatitis B and HIV.

There's evidence that anal intercourse carries a higher transmission risk than almost any other sexual activity. Information about these risks is given below.

Consent

What consenting adults enjoy sexually in the privacy of their homes is their own business provided that the law does not prohibit it.
The key issues are legality and consent. In the UK, anal intercourse is now a legal activity between consenting men and women aged 16 and over, in both heterosexual and homosexual relationships, except in Northern Ireland where it's 17 and over.

In some countries it is still a criminal offence punishable by long custodial sentences, and corporal or even capital punishment. It remains forbidden in some states of the USA, though in practice a Supreme Court decision of 2003 appears to invalidate these state laws.

Anal intercourse is legally forbidden in some former colonies of Britain, notably in the West Indies.

Consent freely given by both partners is an essential feature of sexual activity in a loving relationship. Many individuals, both men and women, may have secret fantasies involving anal intercourse but feel unable to discuss them with their partner.

Some may try and pressurise their partner to have anal intercourse, even though the partner does not share their interest. Some partners will reluctantly acquiesce, others may be pressured or even physically forced to allow it.

Forcing or pressurising a partner to submit to an activity that they find distasteful or degrading is completely unacceptable behaviour.

Intoxication with drugs or alcohol is associated with lowering inhibitions and experimentation with unusual or unsafe sexual behaviour – and can lead to serious consequences.

Some male gay couples use the drugs known as 'poppers' (nitrates) to try to relax the anal sphincter and so make penetration easier. But these agents do carry some risk of side-effects.

It should be remembered that in the absence of freely given consent, the very serious criminal offences of assault and rape are committed.

Therefore, it's essential that both partners agree that they wish to try anal sex as a part of their sexual repertoire and that they are sure of the legal position on anal intercourse in the country that they are in.

Who does it?

There is a common misconception that anal sex is practised almost exclusively by gay men. This is certainly not the case.
It's widely claimed that one third of gay couples do not include anal intercourse in their lovemaking. According to one estimate, about a third of heterosexual couples have tried it from time to time.
It's thought that about 10 per cent of heterosexual couples have anal intercourse as a more regular feature of their lovemaking.
In absolute numbers, more heterosexual couples have anal sex than homosexual couples, because many more people are heterosexual.

Is it safe?

Anal sex, if practised with care, is possible for most couples.
It does, however, carry health risks and there are safer sexual practices that couples can enjoy.
The main health risks, which affect both heterosexual and homosexual couples, are described below.

  • Human immunodeficiency virus (HIV): there is no doubt that anal intercourse carries a greater risk of transmission of HIV – the virus that can cause acquired immunodeficiency syndrome (AIDS) – than other sexual activities, particularly for the receptive partner.
  • Human papilloma virus and warts: this virus can be transmitted during anal intercourse and that may lead to anal warts.
  • HPV and anal cancer: unfortunately, certain strains of HPV virus do have carcinogenic (cancer-provoking) potential. There are some types of HPV that cause cancer of the cervix in women and probably also cancer of the throat. Round about the beginning of the present century, research showed
  • that HPV could be isolated from the tissues of many anal cancers. By 2008, it became clear that people who had been anally penetrated by multiple partners were unusually likely to get carcinoma of the anus. A Danish study has recently suggested that gay men may have a 17-fold increase in risk of anal cancer –
  • but close inspection of this paper reveals that the number of people involved was very small. So the case is not quite proven yet, but there are enough data to suggest that if you are going in for anal intercourse, it's safest to do it with only one regular partner.
  • Hepatitis A (infectious hepatitis): this is a viral infection that can cause jaundice and abdominal pain. Hepatitis A is not usually a life-threatening illness, although sufferers can feel quite ill. It can be transmitted by oral-anal contact.
  • Hepatitis C: is a cause of progressive and sometimes fatal chronic liver disease. Hepatitis C may be transmitted by anal intercourse, although this seems to be a rare occurrence. Sharing of equipment for intravenous drug use is a far more important risk for transmission.
  • Escherichia coli (E. coli): may sometimes cause mild to severe, or even (very rarely) fatal, gastroenteritis. It is one of many viruses and bacteria that can be transmitted by oral-anal contact. Some E. coli strains (uropathic E. coli) can also cause urinary tract infections (UTIs), ranging from cystitis to pyelonephritis – a serious kidney infection. E. coli very readily crosses the short distance between the female anus and the female urinary opening, so causing a urinary infection. Anal intercourse can facilitate this transfer, particularly if it is immediately followed by vaginal intercourse.

Protection

Avoiding anal sex altogether is of course the best way of avoiding these risks.
There are other, safer sexual practices that can be exciting and rewarding, but many couples may still wish to try the anal route.

The use of condoms and water-based lubricants, such as K-Y Jelly, will offer some protection.

Other lubricants may cause condoms to split, as will over-energetic thrusting without adequate lubrication.
Specially toughened condoms designed for anal intercourse may offer more protection.

How to have anal intercourse safely

Anal intercourse involves the penetration of the anus and rectum with the erect penis for the purpose of sexual stimulation.
It is possible for both men and women to 'receive' it, although care is needed for it to be safe and comfortable.

Ensure the anal area is clean and the bowel is empty
. This is important both aesthetically and practically. If the bowel is empty, there is no risk of the receptive partner passing faeces.

First try gently inserting a lubricated finger
, perhaps covered by a condom or glove into the anus. This will enable the receiving

partner to find out whether penetration is comfortable and enjoyable. Having managed to accommodate one finger, you can run it around the anal canal – gently stretching it. This must be done delicately so as not to cause pain or injury.

If this is successfully achieved, the couple may agree to try with a well-lubricated penis or with a butt plug (a broad-based anal dilator), dildo or vibrator (see below about the risks of sex aids and anal sex).

Gentleness, care, adequate lubrication and anal relaxation
are required, not the insertive partner pushing harder! If condoms are used for penile penetration, which is advisable to reduce the risk of sexually transmitted disease, it is important to use a water-based lubricant. The insertive partner must be gentle with any thrusting, so as to give the receptive partner time to allow the sphincter to relax. With time and practice, this may become easier.

Drugs and anal sex

  • Muscle relaxant drugs (amyl nitrate, butyl nitrate, glyceryl trinitrate) have been tried to make anal intercourse easier or more comfortable. We do not recommend this. Amyl nitrate 'poppers' sold in small bottles for inhalation, are popular in the gay community and have a reputation both for enhancing the intensity of orgasm and helping relax the anal sphincter. There's no real evidence to support these assertions and its use is not recommended by medical authorities. It is important to remember that amyl nitrate is a potent drug with many side-effects, including facial flushing, headaches, dizziness and low blood pressure, which may lead to faintness and loss of consciousness. Amyl nitrate, when taken with Viagra (sildenafil), may cause a catastrophic drop in blood pressure with potentially fatal consequences. Other nitrates may have the same effect. All erection-inducing drugs, including Viagra (sildenafil), Cialis (tadalafil)and Levitra tablets (vardenafil), can be very dangerous if you are using nitrates.
  • Local anaesthetics, such as lignocaine (lidocaine) cream or even locally applied cocaine, have been used to reduce anal pain during intercourse. Again, we strongly advise against this. By numbing the anal skin there is a real risk of causing serious injury to the anal sphincter through over-vigorous thrusting. By following the steps above it is possible to gently dilate the sphincter for comfortable intercourse. The purpose of pain is to make us aware that we are causing injury and, therefore, local anaesthetics should be avoided. Another problem with local anaesthetics is that they may make the penis of the insertive partner numb. This may lead to problems with erection, orgasm and ejaculation.
Fisting

This means putting the whole hand into the rectum.
With adequate relaxation it's physically possible, and it may be acceptable and enjoyable for some couples. But the diameter of the hand is so much greater than that of the penis that there's an increased risk of anal injury. For that reason, we do not recommend this practice.
In reality, anal fisting is very rarely used by heterosexual couples.

Rimming

Rimming involves oral contact with the anus for sexual stimulation. This involves a high risk of transmission of infection. So we cannot recommend this practice.

Sex aids and anal sex – a cautionary note

Some couples like to use sex aids for insertion into the anus. Certain individuals may use them for solitary sexual stimulation.
The same principles apply as for genital insertion in that relaxation is essential. Sex aids must be kept clean and washed carefully between use. Condoms may be placed over sex aids as an additional precaution.

One additional risk from the use of sex aids in anal sex is that of losing the aid into the rectum.

Some medical school pathology museums have a wide selection of novel foreign bodies recovered from the rectums of both men and women, ranging from vibrators to milk bottles.

Human ingenuity seems to know no bounds in this area, but it is incredibly foolish to insert potentially breakable objects into the anus and terrible injuries may result.

If you do lose a sex aid into the rectum you should attend the Accident and Emergency department of your local hospital as soon as

possible, however embarrassing it may be. The situation will only get worse if it is neglected and the object may break or become more difficult to recover.

In general, you should only use a sex aid which is designed for the anus. Butt plugs and anal vibrators have a broad base, which makes it difficult to 'lose' them inside the rectum.

Vaginal vibrators are not designed in this way, and can easily slip inside and buzz their way up the colon. Some have been recovered by surgeons from far inside the abdomen.

If they are still vibrating when the patient arrives at the hospital, they produce an interesting but alarming phenomenon called 'the rotating umbilicus sign'. Don't let this happen to you.

http://www.netdoctor.co.uk/sexandrelationships/analsex.htm

Mkuu, heshima yako,
Vipi wewe binafsi upo upande gani, watu waendelee na huo mchezo au kuna haja ya kuachana nao hasa linapokuja suala la afya ukiacha mungu na sheria pembeni, wewe binafsi unasemeaje?

Kama niliposema hapo juu...anal sex iko documented kwenye Biblia tangu enzi za Lutu, hiyo ni kabya ya Yesu (B.C)...na ipo mpaka leo hii. Mimi kama Riwa siwezi badili chochote kwenye mtazamo wa watu kuhusu anal sex, kidini wala kisheria! Kama inafikia wakati mataifa makubwa kama USA na UK wanatishia wakuu wa nchi tegemezi kuwa watapunguza misaada iwapo hatawalegalize 'anal sex', wakati hao hao ndio wanaotoa mabilioni kwa vita dhidi ya HIV/AIDS ambayo inajumuisha risk ya men-having sex with-men (homosexual anal sex haina tofauti na heterosexual anal sex), then you can imagine how big is the problem!

Hata siku moja sitamuambia client wangu 'acha anal sex', bali nitamueleza what are the risks, and how to do it safe..kama post ya MziziMkavu ilivyolelezea kwa kina hapo juu! Believe me, kwa ambao wanenjoy anal sex, hakuna atakayeacha sababu Riwa au daktari mwingine kamuambia!
 
He he he!!! naona watumiaji wa mtandao wa 0713 wamekuja juu, hivi hii kitu raha yake? ngoja nijaribu lakini sio kwa mama Yoyoyoo!
 
Tunashukuru sana MziziMkavu kwa elimu. Unajua hata darasani unaruhusiwa kusikiliza mwalimiu anachosema au kufanya yale unayoona wewe kwako ni rahisi hata kama hukufundishwa.

Katika hali ya kawada huwezi kuhalalisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Hawa wanahahizaya hawa wanaoona ni haki na wajibu wao kufanya ngono kinyume na maumbile wamelaaniwa. Kama ni wapenzi wa vitabu vya Mungu utaelewa zaidi.
 
Mkuu MziziMkavu kwani wewe ni dakitari? Mbona sijasikia madikitari wakiongelea haya madahara au ndio mambo ya siri?
Mkuu Safari_ni_Safari Ma-Daktari wanajuwa madhara ya kufanya tendo la Tigo lakini wananyamaza na wengine huenda wanafanya hiyo starehe ya tigo na kutetea pia ndio maaa ukaona kimya ila kuna Daktari mmoja humu ndani amenijibu Riwa Mkuu mimi sio Daktari mimi ni Mchunguzi Matafiti na Mtaalamu wa dawa za Mitishamba
 
Mizizi Mibichi vipi huna utaalamu nayo?:becky::becky::becky:
 
Mkuu,
Ukisikia majaribu, basi ndiyo haya. Hapa: ''how to do it safe'', ndiyo unaniweka katika wakati mgumu.

Kama niliposema hapo juu...anal sex iko documented kwenye Biblia tangu enzi za Lutu, hiyo ni kabya ya Yesu (B.C)...na ipo mpaka leo hii. Mimi kama Riwa siwezi badili chochote kwenye mtazamo wa watu kuhusu anal sex, kidini wala kisheria! Kama inafikia wakati mataifa makubwa kama USA na UK wanatishia wakuu wa nchi tegemezi kuwa watapunguza misaada iwapo hatawalegalize 'anal sex', wakati hao hao ndio wanaotoa mabilioni kwa vita dhidi ya HIV/AIDS ambayo inajumuisha risk ya men-having sex with-men (homosexual anal sex haina tofauti na heterosexual anal sex), then you can imagine how big is the problem!

Hata siku moja sitamuambia client wangu 'acha anal sex', bali nitamueleza what are the risks, and how to do it safe..kama post ya MziziMkavu ilivyolelezea kwa kina hapo juu! Believe me, kwa ambao wanenjoy anal sex, hakuna atakayeacha sababu Riwa au daktari mwingine kamuambia!
 
Mkuu Safari_ni_Safari Ma-Daktari wanajuwa madhara ya kufanya tendo la Tigo lakini wananyamaza na wengine huenda wanafanya hiyo starehe ya tigo na kutetea pia ndio maaa ukaona kimya ila kuna Daktari mmoja humu ndani amenijibu Riwa Mkuu mimi sio Daktari mimi ni Mchunguzi Matafiti na Mtaalamu wa dawa za Mitishamba

Kaka MziziMkavu sio kwamba natetea ulaji au uliwaji tiGO...mpaka kudhani nami ni mdau, la hasha..nilikuwa tu naweka record straight!

Kiukweli ni kwamba...couples nyingi sana siku hizi zinaengage kwenye some sort of anal sex, either by complete penetration or fingering or toying...its what they enjoy, hawa hatuwasaidii kwa kuwatisha, bali kuwapa ukweli na uamuzi ni juu yao, kama wataacha...sawa, kama hawataacha basi angalau waambie how to do it safely!

Hili la kina mama kunyanyapaliwa kwa kweli ni very serious...kuna wanawake wanakuja labor na full rectum (wamebanwa na choo), na lazima watatoa tu hicho choo kwenye process ya labor, na huwa tunawafuta wakati tunawazalisha...kuna manesi wanachukizwa na hilo, na wanaweza msakama mama analiwa tiGO, it is very embarrasing kwa kweli. Mama ana uchungu kibao wa kuzaa, ana mzuka wa kupokea mwanae mpya..halafu unaanza kumsengenya anatoa tiGO wakati dada wa watu hata kidole hajawahi onja huko...ni uonevu wa hali ya juu. Lakini hii hali ilikuwa common kipindi fulani hapo nyuma. Na wengine walienda mbele kiasi cha kuwafuata waume za hawa kina dada waiting rooms na kuwatukana..you can imegine mkeo hata kidole hujapeleka huko, nesi anakuja kukushutumu utaua mkeo eti unamla tiGO hawezi sukuma mtoto...kutabaki ndoa hapo? Mkeo atakueleza nini umuelewe kwamba ulikuwa ni uKihiyo wa nesi tu?!

Na ndio pia kwa wazee wa watu ambao Prostate zishavimba kutokana na umri, zinaziba njia za mkojo..akiwekewa catheter kumsaidia kutoa mkojo...'ooh, mfil@ji huyu, kapigwa bomba kuzibuliwa'...maskini mzee wa watu hawahi onja vutu maisha yake yote...it is unfair, issue kama hizo lazima ziwe addressed.

Katika articles zote zilizokuwa posted humu hakuna effect hizo za kuziba mikojo kwa wanaume wala kunya wakati wa kuzaa kwa wanawake. So lets all address documented risks and effects of anal sex, na sio za kuzusha!
 
ATHARI ZA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE ( TIGO)

napenda nizungumzie athari 2 kubwa zinazotokana na kufanya mapenzi katika njia ya haja kubwa .

Wanaume waliowengi hivi sasa wamekuwa wakitamani
kuwaingilia wapenzi wao kinyume na maumbile kwa
lengo la kutaka kujiridhisha wao pasipo kujua athari zake na
katika hili athari hazimpati mwanaume tu bali hata kwa mwanamke.......

Athari zake:
Athari ya kwanza: KUZIBA KWA NJIA YA KUPITISHIA MKOJO

kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile kwa upande wa wanaume kunaweza kusababisha kuziba mrija uliopo kwenye uume unaopitisha mkojo, kwani pindi unapokuwa na mpenzi wako unatumia sehemu hii ya matakoni....

Tukumbuke kuwa sehemu hii ina chembe chembe za haja kubwa/mavi zinazokuwa zinapita kwenye lile tundu la kutolea mkojo, na endapo utakuwa unaendelea kutumia sehemu hii utajikuta zile chembe chembe zinajaa kwenye mrija hivyo itafikia kipindi mkojo utakuwa unashindwa kupita kwenye njia yake mpaka uende hospital wafanye upasuaji waweze kusafisha njia. ....AIBU..

Athari ya Pili: KUPANUKA KWA NJIA YA HAJA KUBWA NA KUSABABISHA KUTOKWA NA"MAVI" PINDI MWANAMKE ANAPOTAKA KUZAA

Athari hii hutokea kwa mwanamke ambae amezoea kuingiliwa kinyume na maumbile ...

Tatizo hutokea pindi anapotaka kuzaa, mwanamke anaeingiliwa kinyume na maumbile kwa muda mrefu ile sehemu yake ya haja kubwa hutanuka na kupelekea mishipa iliyozunguka sehemu ile kulegea hivyo inapotokea anahitaji kujifungua/kuzaa inabidi atumie nguvu nyingi katika kumsukuma mtoto ili aweze kutoka ....

Kutokana na mishipa ya ile sehemu yake ya haja kubwa kuwa imelegea,mwanamke hukosa nguvu ya kuziba eneo lile hivyo kipindi anajikema kumtoa mtoto ni rahisi mavi kutoka kwani njia itakuwa imetanuka na mishipa haifanyi kazi.

Uwongo mtupu!
Mavi yanawezaje kuziba njia ya mkojo? Hayo ni maneno ya vijiweni.
Mwanamke kuzaa kwa shida pengine na haja ikatoka wakati Wa kuzaa ni kawaida saaana, haina uhusiano na kuliwa tigo. Asilimia 99 ya wanawake wanakunya wakizaa!! Nenda kamuulize mkeo vizuri au mama yako atakuambia. Kwa hiyo unataka kusema Mwanamke ambaye haliwi tigo hatumii nguvu kwenye kuzaa eeh?
Hata Quran imeandika WAKE ZENU NI MASHAMBA YENU WAENDEENI MTAKAVYO.
 
Mkuu,
Ukisikia majaribu, basi ndiyo haya. Hapa: ''how to do it safe'', ndiyo unaniweka katika wakati mgumu.
kwa nini akuweke kwenye wakati mgumu wakati umeshasema kwamba

..... nachukia sana wanawake wanaoliwa nyuma,......
Riwa ametoa unbiased information lakini hajam-convince yoyote ajaribu 0713, kama hupendi 0713 then don't do it, ukitaka kujaribu then hayo ni mengine. usije kusema riwa kakushawishi
 
Last edited by a moderator:
Safi sana Mkuu kwa kuelewa msimamo wangu tangu mwanzo. Mimi nimemuuliza Riwa anifafanulie ''How can it be safe?'', hilo ndilo ninalotaka kulifahamu, kama unayo majibu pia kwa niaba yake nitakushukuru sana mkuu. Karibu.

kwa nini akuweke kwenye wakati mgumu wakati umeshasema kwamba

Riwa ametoa unbiased information lakini hajam-convince yoyote ajaribu 0713, kama hupendi 0713 then don't do it, ukitaka kujaribu then hayo ni mengine. usije kusema riwa kakushawishi
 
Safi sana Mkuu kwa kuelewa msimamo wangu tangu mwanzo. Mimi nimemuuliza Riwa anifafanulie ''How can it be safe?'', hilo ndilo ninalotaka kulifahamu, kama unayo majibu pia kwa niaba yake nitakushukuru sana mkuu. Karibu.
I'm sure he meant standard safe sex practices kama; kujisafisha kabla ya tukio, kutumia mpira nk. siwezi kufafanua zaidi kwa sababu sitaki 'u-membership wangu uote nyasi'.
 
Back
Top Bottom