Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu kinyoba wewe Hiyo aya ya Quran umeikopi kipande tu mbona hujamalizia mwisho wake inasemaje?Au Unatafsiri aya za Quran kama biblia inavyotafsiriwa? ngoja nikumalizie hiyo Aya ya Quran inasema hivi ninakupa ukamilifu wa hiyo aya hebu soma hapa:Hata Quran imeandika WAKE ZENU NI MASHAMBA YENU WAENDEENI MTAKAVYO.
SURA 2:223. (Wake zenu ni mwahali mwa kupatia uzazi, kama vile mbegu inavyo toa mmea. Basi ni halali kwenu
kuwaingilia vyovyote kwa sharti ya kupitia njia za uzazi. Na mcheni Mwenyezi Mungu wala msimuasi katika kukaa
kwenu na wanawake. Na mjue kuwa nyinyi mtakutana naye, na mna jukumu kwake. Furaha ni ya hao wanao simama juu ya mipaka yake Mtukufu na hawaikiuki)
Wapi kwenye Quran imeruhusu mwanamke kumla Tigo? Mbona mkuu unasema maneno ya uongo? unatoka nje ya Topic yetu kuzungumzia madhara ya kula Tigo unakwenda kwenye mambo ya dini acha kusema uongo mkuu.
Last edited by a moderator: