Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kula Tigo kuna raha yake isipokuwa huliwa tu kama na mwenzako nae anafaidi, hakikisha umetia mate vizuri, pia usiwe na haraka, ukiona hajazowea basi unatakiwa ummbikiri taaaratib. Usichanganye Tigo na Voda wakati mmoja utamchafulia voda yake na huleta infeksheni fulan
 
Uwongo mtupu!
Mavi yanawezaje kuziba njia ya mkojo? Hayo ni maneno ya vijiweni.
Mwanamke kuzaa kwa shida pengine na haja ikatoka wakati Wa kuzaa ni kawaida saaana, haina uhusiano na kuliwa tigo. Asilimia 99 ya wanawake wanakunya wakizaa!! Nenda kamuulize mkeo vizuri au mama yako atakuambia. Kwa hiyo unataka kusema Mwanamke ambaye haliwi tigo hatumii nguvu kwenye kuzaa eeh?
Hata Quran imeandika WAKE ZENU NI MASHAMBA YENU WAENDEENI MTAKAVYO.

Wewe sio muislam. Dont quote quran while you know nothing about it juha wewe. Have respect! Unajua nini maana ya shamba? Unajua nini kinachopatikana shambani? Ni MAVUNO!!!! Quran imeweka clear kabisa kila kitu.

Iliposemwa kuwa tunaweza kuwaendea wake zetu tutakavyo haijamaanisha kula tigoz. Umeruhusiwa kumuekea mkeo mkao unaotoka, unaweza ukamchezea ili kumpa hisia unavotaka, ndio maana ya kuwaendea tutakavyo, sasa nije katika Shamba. Katika shamba mkulima hupalilia shamba lake na kuotesha matunda apendayo akitegemea ikifika msimu atavuna, sasa wewe juha usoifahamu quran ngoja nkufahamishe, unapofanya sex kwa mbele (shambani) ni sawa na kupalilia shamba na kuweka mbegu mbalimbali (kama vile shamabni mkulima anavofanya) tunategemea katika miezi tisa tupate mtoto (ambae ni sawa na mavuno shambani), sasa nkuulize kula tigo utavuna nini??
 
Mkuu Black ma colour Wewe unawashauri watu watumie Mpira inaonyesha wewe unatumia hii kitu? au sio? na kama hautumii hii kitu kwanini unawapa watu mawazo yako ya Pumba?
cna maana hiyo kiongozi coz mchezo huo ni hatari mno hasa kwa kuongeza kasi ya maambukizi ya ukimwi na matatizo ya kujifungua kwa kina mama pamoja na kuathirika kisaikolojia kwa watumiaji wa mchezo huo but kuwaambia watu watumie condom dat is an altenative way hasa kwa wale wasiotaka kusikia but am not here to advice sm1 to do dat since i know how bad this is, yaan ni sawa kumwambia m2 a2mie condom kama hawezi jizuia kufanya zinaa. that is ma point.
 
Mkuu Boflo ukibisha wewe bisha tu kwani Walevi ndio wengi lakini wanakufa kwa ajali ya ulevi ni wachache tu,Wavuta sigara ni wengi tu lakini wanaopata

maradhi ya kansa ya mapavu kwa ajili ya kuvuta sigara ni wachache tu, Wezi ni wengi lakini wanaokamatwa kwa Wizi ni wachache

tu . wachawi ni wengi tu lakini wanaokamatwa kwa uchawi ni wachache tu,Mafisadi ni wengi tu lakini wanaokamatwa

kwa ufisadi na kufungwa ni wachache tu. Waswahili wamesema Za Mwizi ni siku zake 40 ikifa siku 40 mwizi ndio

anapokamatwa shauri yako ikiwa na wewe unafanya haka kijimchezo siku yako ya 40 itafika tu ukitaka usitake.
mzee mbona siasa nyingi afu defence mechanism kubwaa binafsi mimi sishabikii wala si muumini wa tigo! lakini sikufurahishwa na majibu yako hapa! ebu jenga hoja za kitaalamu uweze kujibu through hoja si kutaka watu waamini yale unayoyasema pasipo kukuuliza maswali
 
madhara ya tigo ni makubwa sana kuliko faida kama mtu haamini endeleni tu mtakuaja jua siku mmoja
 
mzee mbona siasa nyingi afu defence mechanism kubwaa binafsi mimi sishabikii wala si muumini wa tigo! lakini sikufurahishwa na majibu yako hapa! ebu jenga hoja za kitaalamu uweze kujibu through hoja si kutaka watu waamini yale unayoyasema pasipo kukuuliza maswali
Mkuu zema21 Toa mawazo acha kuleta majibu yako ya Pumba hapa unapendelea huu uchafu uendelee nini?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu zema21 Toa mawazo acha kuleta majibu yako ya Pumba hapa unapendelea huu uchafu uendelee nini?
Pumba mbona unazo wewe mkuu kwanza jaribu kuwa rational! Mimi nimesema sishabikii wala kusupport tigo! Nimeona kuna jamaa amekuuliza swali wewe badala ya kumpa maelezo unahamaki na kujibu hovyo! sasa umejitolea kuwa mwalimu fundisha darasa lieleweke!
ukiulizwa maswali jibu kwa ufasaha si kukejeli watu na kusema wana pumba wakati wewe mwenyewe hujaeleweka
 
Sababu zako mbili ulizotoa...

1. Kuziba kwa njia ya kupitisha mkojo
: Ukitumia kondom itaziba pia????

2-Kupanuka kwa njia ya haja kubwa: Mbona watu kila siku wanajisaidia mashonde makubwa,manene na magumu kuliko mtalimbo mbona hawatanuki???, ije kutanuka kwa nyama laini + Ky jelly???

Kufanya na kutofanya ni maamuzi ya mtu binafsi......
Issue hapa hukujibu maswali niliyokuuliza???
Sigara na Ulevi vinaeleweka na madhara yake yako wazi kabisa...

MziziMkavu siku hizi anataka kugeuka Babu wa Loliondo

Kuziba hata watoto wadogo wa miaka 9 inatokea, na kwa wanawake kunya wakati wa kuzaa inatokea sana, sio lazima wawe
wametoa tigo

Pumba mbona unazo wewe mkuu kwanza jaribu kuwa rational! Mimi nimesema sishabikii wala kusupport tigo! Nimeona kuna jamaa amekuuliza swali wewe badala ya kumpa maelezo unahamaki na kujibu hovyo! sasa umejitolea kuwa mwalimu fundisha darasa lieleweke!
ukiulizwa maswali jibu kwa ufasaha si kukejeli watu na kusema wana pumba wakati wewe mwenyewe hujaeleweka
Kaniuliza Maswali ya Pumba kama unavyoeleza wewe ndio maana nikamjibu hivyo kama wewe zema21 ungeliuzakwanini nimemjibu hivyo ningelikueleza lakini wewe unalaumu pasipo na kuona maswali aliyoyauliza huyo niliyemjibu usilaumu kitu pasipo kwanza kusoma ni kitu gani alichoniuliza angalia hapo juu maswali yake.
 
Last edited by a moderator:
ATHARI ZA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE ( TIGO)

napenda nizungumzie athari 2 kubwa zinazotokana na kufanya mapenzi katika njia ya haja kubwa .

Wanaume waliowengi hivi sasa wamekuwa wakitamani
kuwaingilia wapenzi wao kinyume na maumbile kwa
lengo la kutaka kujiridhisha wao pasipo kujua athari zake na
katika hili athari hazimpati mwanaume tu bali hata kwa mwanamke.......

Athari zake:
Athari ya kwanza: KUZIBA KWA NJIA YA KUPITISHIA MKOJO

kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile kwa upande wa wanaume kunaweza kusababisha kuziba mrija uliopo kwenye uume unaopitisha mkojo, kwani pindi unapokuwa na mpenzi wako unatumia sehemu hii ya matakoni....


Tukumbuke kuwa sehemu hii ina chembe chembe za haja kubwa/mavi zinazokuwa zinapita kwenye lile tundu la kutolea mkojo, na endapo utakuwa unaendelea kutumia sehemu hii utajikuta zile chembe chembe zinajaa kwenye mrija hivyo itafikia kipindi mkojo utakuwa unashindwa kupita kwenye njia yake mpaka uende hospital wafanye upasuaji waweze kusafisha njia. ....AIBU..

Athari ya Pili: KUPANUKA KWA NJIA YA HAJA KUBWA NA KUSABABISHA KUTOKWA NA"MAVI" PINDI MWANAMKE ANAPOTAKA KUZAA

Athari hii hutokea kwa mwanamke ambae amezoea kuingiliwa kinyume na maumbile ...


Tatizo hutokea pindi anapotaka kuzaa, mwanamke anaeingiliwa kinyume na maumbile kwa muda mrefu ile sehemu yake ya haja kubwa hutanuka na kupelekea mishipa iliyozunguka sehemu ile kulegea hivyo inapotokea anahitaji kujifungua/kuzaa inabidi atumie nguvu nyingi katika kumsukuma mtoto ili aweze kutoka ....

Kutokana na mishipa ya ile sehemu yake ya haja kubwa kuwa imelegea,mwanamke hukosa nguvu ya kuziba eneo lile hivyo kipindi anajikema kumtoa mtoto ni rahisi mavi kutoka kwani njia itakuwa imetanuka na mishipa haifanyi kazi.
Wachangiaji ni wengi na hi inaonyesha ukubwa wa tatizo.
Katika madhara yote uliyotaja tayari umeshapata majibu yanayopinga ikiwemo matumizi ya condom ambayo tayari ni jibu kwa hoja ya kuziba mkojo.
Kuhusu kutoka haja kubwa wakati wa kujifungua hil ni jambo la kawaida kwani kama kuna mzigo kwenye njia ya haja kubwa kichwa cha mtoto kinaokarikibia kutoka kinikandamiza sehemu hiyo na kwa vyovyote haja kubwa itatoka.Ndo maana katika ukunga wa kizamani mwanamke alikuwa akipigwa bomba il knyesi chote kilichopo njiani kitoke.
Athari kubwa ya tabia hii ni ya kisaikolojia zaidi,wanaume wengi wanaonza tabia hii wanaharibika kiakili na wanashindwa kuacha.
Wanawake wengi wanaingia katika hulka hii kutokana na nia ya kuwafurahiha wenzi wao ingawa kuna ambao wanakiri ya kuwa wana enjoy.
Nimewahi kuzungumza na vijana wa kizungu ambao waliiri ya kuwa hii ni tabia a kaaida kwao na vijana wengi wanapitia kabla ya kuamua kuindeleza au kuiacha.
Wasichana wengi wameingia katika tabia hii pia kutokana na tamaa na kudanganyana kuwa unaweza kupata pesa zaidi.
 
Iko hivi ujisaidie mengi au kidogo hiyo sehemu imeumbwa kwa ajili ya kutoa tu na si kuingiza waulize walio jisaidia mengi magumu na damu ikatoka watakujibu sembuse ingia toka wahicho unachokiita nyama laini tuulize ss wakina dada tutakujibu kama ni laini au maumbile yetu ndio laini ukitumia condoms sio mbaya sana ila utakutwa na tatizo jingine la kulegea kwa mishipa ya mboo
Kufanya na kutofanya ni maamuzi ya mtu binafsi......
Issue hapa hukujibu maswali niliyokuuliza???
Sigara na Ulevi vinaeleweka na madhara yake yako wazi kabisa...
 
Mada tata sana hii! Mbaya zaidi mara nyingi wengi wanaijadili hawana chembe ya uzoefu....ni habari za "nilisikia", "fulani alisema" na blah blah nyingine.

Hakuna watu wanaoweza kutupa first hand information/experience?
 
bibie imaney mimi nimeshukuru kuwa

umesema maneno ya ukweli kuwa ulijaribu lakini hukkuona raha yake ingawa unapinga niliyoyaweka hapo juu kwenye

Thread yangu ingawa wewe mwenyewe ulijaribu nakuona haina utamu wowote ule. Hebu tuzungumze kuhus mambo ya

Dini wewe utakuwa kam ni muislam au mkristo kwa vyovyote vile utakuwa ni mtu mwenye kuamini dmoja kati ya hizo dini

nilizozitaja ninakuuliza swali langu hili moja Je katika imani ya dini yako unayoamini hamjakatazwa kutumia Tigo? au imani

ya dini yako imeruhusu watu kuliwa Tigo au kula Tigo? Ninakuomba hapo unijibu.Na kama Dini yenu imekataza watu

kuliwa na kutumia Tigo wewe kwanini unanipinga kuwa hakuna madhaara ya mtu kuliwa au kula Tigo? Unapinga amri ya

Mungu alivyokataza watu Kutumia Tigo? wewe haumuogopi Mungu sio mimi?

Mkuu Mzizimkavu dini pia zinakataza hata uko kwenye voda na sio tigo peke, usiwe bias unapotoa ufafanuzi, try kuzishinda emotions zako.
 
Mkuu Mzizimkavu dini pia zinakataza hata uko kwenye voda na sio tigo peke, usiwe bias unapotoa ufafanuzi, try kuzishinda emotions zako.
Mkuu.@v Lazima unielewe Thread yangu

nimeweka nimekusudia nini usituchanganye hapa hatuzungmzi mambo ya Zinaa tunazungumzia mambo ya kula

Tigo usilete mambo yako ya Ulokole hapa usiharibu Thread yangu tafadhali kama huna cha kuzungumza bora

unyamze inatosha sana kuliko kuleta mambo ya ligi hapa tafadhali.
 
Mkuu.@v Lazima unielewe Thread yangu

nimeweka nimekusudia nini usituchanganye hapa hatuzungmzi mambo ya Zinaa tunazungumzia mambo ya kula

Tigo usilete mambo yako ya Ulokole hapa usiharibu Thread yangu tafadhali kama huna cha kuzungumza bora

unyamze inatosha sana kuliko kuleta mambo ya ligi hapa tafadhali.
Mkuu MziziMkavu naona Inner-Man wako ameibuka baada ya kukasirishwa. Lakini ukiwa mwanaJF na hasa jukwaa lenyewe la sisi wagonjwa lazima uwe mvumilivu.
 
Sababu zako mbili ulizotoa...

1. Kuziba kwa njia ya kupitisha mkojo
: Ukitumia kondom itaziba pia????

2-Kupanuka kwa njia ya haja kubwa: Mbona watu kila siku wanajisaidia mashonde makubwa,manene na magumu kuliko mtalimbo mbona hawatanuki???, ije kutanuka kwa nyama laini + Ky jelly???

kWANI bOFLO WEYE UIJARIBU HIYO MAMBO YA KINYUME NA MAUMBILE??
 
[h=2]Is it safe?[/h]Anal sex, if practised with care, is possible for most couples.
It does, however, carry health risks and there are safer sexual practices that couples can enjoy.
The main health risks, which affect both heterosexual and homosexual couples, are described below.

  • Human immunodeficiency virus (HIV): there is no doubt that anal intercourse carries a greater risk of transmission of HIV – the virus that can cause acquired immunodeficiency syndrome (AIDS) – than other sexual activities, particularly for the receptive partner.
  • Human papilloma virus and warts: this virus can be transmitted during anal intercourse and that may lead to anal warts.
  • HPV and anal cancer: unfortunately, certain strains of HPV virus do have carcinogenic (cancer-provoking) potential. There are some types of HPV that cause cancer of the cervix in women and probably also cancer of the throat. Round about the beginning of the present century, research showed that HPV could be isolated from the tissues of many anal cancers. By 2008, it became clear that people who had been anally penetrated by multiple partners were unusually likely to get carcinoma of the anus. A Danish study has recently suggested that gay men may have a 17-fold increase in risk of anal cancer – but close inspection of this paper reveals that the number of people involved was very small. So the case is not quite proven yet, but there are enough data to suggest that if you are going in for anal intercourse, it's safest to do it with only one regular partner.
  • Hepatitis A (infectious hepatitis): this is a viral infection that can cause jaundice and abdominal pain. Hepatitis A is not usually a life-threatening illness, although sufferers can feel quite ill. It can be transmitted by oral-anal contact.
  • Hepatitis C: is a cause of progressive and sometimes fatal chronic liver disease. Hepatitis C may be transmitted by anal intercourse, although this seems to be a rare occurrence. Sharing of equipment for intravenous drug use is a far more important risk for transmission.
  • Escherichia coli (E. coli): may sometimes cause mild to severe, or even (very rarely) fatal, gastroenteritis. It is one of many viruses and bacteria that can be transmitted by oral-anal contact. Some E. coli strains (uropathic E. coli) can also cause urinary tract infections (UTIs), ranging from cystitis to pyelonephritis – a serious kidney infection. E. coli very readily crosses the short distance between the female anus and the female urinary opening, so causing a urinary infection. Anal intercourse can facilitate this transfer, particularly if it is immediately followed by vaginal intercourse.
[h=2]Protection[/h]Avoiding anal sex altogether is of course the best way of avoiding these risks.
There are other, safer sexual practices that can be exciting and rewarding, but many couples may still wish to try the anal route.
The use of condoms and water-based lubricants, such as K-Y Jelly, will offer some protection.
Other lubricants may cause condoms to split, as will over-energetic thrusting without adequate lubrication.
Specially toughened condoms designed for anal intercourse may offer more protection.
[h=2]How to have anal intercourse safely[/h]Anal intercourse involves the penetration of the anus and rectum with the erect penis for the purpose of sexual stimulation.
It is possible for both men and women to 'receive' it, although care is needed for it to be safe and comfortable.
Ensure the anal area is clean and the bowel is empty. This is important both aesthetically and practically. If the bowel is empty, there is no risk of the receptive partner passing faeces.
First try gently inserting a lubricated finger, perhaps covered by a condom or glove into the anus. This will enable the receiving partner to find out whether penetration is comfortable and enjoyable. Having managed to accommodate one finger, you can run it around the anal canal – gently stretching it. This must be done delicately so as not to cause pain or injury.
If this is successfully achieved, the couple may agree to try with a well-lubricated penis or with a butt plug (a broad-based anal dilator), dildo or vibrator (see below about the risks of sex aids and anal sex).
Gentleness, care, adequate lubrication and anal relaxation are required, not the insertive partner pushing harder! If condoms are used for penile penetration, which is advisable to reduce the risk of sexually transmitted disease, it is important to use a water-based lubricant. The insertive partner must be gentle with any thrusting, so as to give the receptive partner time to allow the sphincter to relax. With time and practice, this may become easier.
[h=2]Drugs and anal sex[/h]
  • Muscle relaxant drugs (amyl nitrate, butyl nitrate, glyceryl trinitrate) have been tried to make anal intercourse easier or more comfortable. We do not recommend this. Amyl nitrate 'poppers' sold in small bottles for inhalation, are popular in the gay community and have a reputation both for enhancing the intensity of orgasm and helping relax the anal sphincter. There's no real evidence to support these assertions and its use isnot recommended by medical authorities. It is important to remember that amyl nitrate is a potent drug with many side-effects, including facial flushing, headaches, dizziness and low blood pressure, which may lead to faintness and loss of consciousness. Amyl nitrate, when taken with Viagra (sildenafil), may cause a catastrophic drop in blood pressure with potentially fatal consequences. Other nitrates may have the same effect. All erection-inducing drugs, including Viagra (sildenafil), Cialis (tadalafil)and Levitra tablets (vardenafil), can be very dangerous if you are using nitrates.
  • Local anaesthetics, such as lignocaine (lidocaine) cream or even locally applied cocaine, have been used to reduce anal pain during intercourse. Again, we strongly advise against this. By numbing the anal skin there is a real risk of causing serious injury to the anal sphincter through over-vigorous thrusting. By following the steps above it is possible to gently dilate the sphincter for comfortable intercourse. The purpose of pain is to make us aware that we are causing injury and, therefore, local anaesthetics should be avoided. Another problem with local anaesthetics is that they may make the penis of the insertive partner numb. This may lead to problems with erection, orgasm and ejaculation.
[h=2]Fisting[/h]This means putting the whole hand into the rectum.
With adequate relaxation it's physically possible, and it may be acceptable and enjoyable for some couples. But the diameter of the hand is so much greater than that of the penis that there's an increased risk of anal injury. For that reason, we do not recommend this practice.
In reality, anal fisting is very rarely used by heterosexual couples.
[h=2]Rimming[/h]Rimming involves oral contact with the anus for sexual stimulation. This involves a high risk of transmission of infection. So we cannot recommend this practice.
[h=2]Sex aids and anal sex – a cautionary note[/h]Some couples like to use sex aids for insertion into the anus. Certain individuals may use them for solitary sexual stimulation.
The same principles apply as for genital insertion in that relaxation is essential. Sex aids must be kept clean and washed carefully between use. Condoms may be placed over sex aids as an additional precaution.
One additional risk from the use of sex aids in anal sex is that of losing the aid into the rectum.


Read more:
http://www.netdoctor.co.uk/sexandrelationships/analsex.htm#ixzz2EriOyksK
Follow us:
@NetDoctor on Twitter | NetDoctorUK on Facebook
 
Hii sredi bila kuchangiwa na agemate wangu ambaye pia ni daktari, mkuu sana TIMING mi nakuwa nashindwa kukonkludi. Mate popote pale ulipo hebu do the needful ndugu zako tupate kupona.

CC: Fidel80
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom