Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

kutokana na mkanganyika katika jamii zetu kuhusu tahadhari au
madhara ya ngono kinyume na maumbile, ambayo mtaani inajulikana kama “mgongo” au “tigo.” Ni kweli kuna madhara yanayoambatana na ngono ya aina hii. Lakini haya yaliyoorodheshwa yana ukweli wowote? Tuyapitie moja badala ya nyinge:

1.Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.
KWELI AU SI KWELI? Si kweli. Hakuna wataalamu wowote duniani (medical professionals) waliofanya utafiti kuhusu tigo ambao wamesema hili. Na kwa wale walioulizwa,
wamekanusha.

2.Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.
KWELI AU SI KWELI? Kama la mwanzo, hili pia si kweli. Limetungwa mitaani tu.

3. Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.
KWELI AU SI KWELI? Kwa mujibu wa
wataalam, hii inatokea kwa wale tu wananogewa na kupenda kujiingiza vitu vikubwa na vigumu zaidi ya uume, kama matango, chupa, na vikorokoro vingine.

4. Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of colon’.
KWELI AU SI KWELI? Wataalam
wamesema hakuna uhusiano wowote wa colon cancer na tigo. Kitu
kinachoongeza uwezekano wa kupata colon cancer ni kuambukizwa virusi vinayoitwa “human papilloma virus” kupitia tigo. Lakini kama mwanaume hana virusi hivyo, au ametumia mpira wa kinga, tigo haiongezi uwezekano wa kupata cancer hiyo.

5. Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.
KWELI AU SI KWELI? Hii ni kweli kama mwanaume akiingiza uume wake ukeni baada ya kuutoa tigo.

6. Hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
KWELI AU SI KWELI? Nawageuzieni
nyinyi swali hili. Kweli au sio kweli? Fungukeni!

7. Mwisho kabisa baada ya
kuharibiwa ni kuwa na msongo wa mawazo na kuilaumu nafsi yako.
KWELI AU SI KWELI? Si kweli. Hakuna uhusiano wowote wa tigo na msongo wa mawazo. Suala la kujilaumu nafsi ni tofauti kati ya mtu na mtu, na hakuna utafiti wowote unaoonyesha inahusiana na hili.
Madhara ya kweli yaliyoorodheshwa na wataalam, na si ya kutunga ni haya yafuatayo:

1. Uwezekano mkubwa wa
kuambukizwa magonjwa ya zinaa kama HIV, na HPV(Human Papilloma
Virus, ambavyo kama nilivyosema awali, ni virusi vinavyoongeza uwezekano wa kupata colon cancer) kama mwanaume anayehusika ana virusi/bakteria wa magonjwa hayo

2. Kuchubuka ngozi ya njia kubwa, hasa kama lubricant(sirima au
vilainisho kama mafuta) havijatumika.

3. Kuumia njia ya haja kubwa, hasa kama vilainisho havijatumika, na kutumia vitu vingine vikubwa na vigumu kama uume wa bandia n.k

Nawasalisha.
Mwanamme je?
 
Pande nne za chumba zinaficha mengi sana, kuna wengine hapa ndio ugonjwa wao huo!
 
Can this be efforts to make justification of the act or is the mere truth?
 
Mpaka hapa naona mnampango wa kuharalisha hili jambo. Hii ni dhambi ya pili kwa ukubwa. 1. Ni kumkufuru Roho takatifu.
2. Kugeuza makusudi ya MUNGU
aliyo yafanya.

ILA NAOMBA MUNGU JEHOVA ATUOKOE NA HILI JANGA. Maana siku hiyo itakuwa bora Sodoma na Gomola kuliko sisi tuliyo letewa habari njema natukajua baya na jema.
 
kwa kweli nakupongeza sana mleta uzi kwa kupotosha jamii ili munaopenda huo mchezo mchafu na wa kulaaniwa uendelee kwa kujenga hoja ambazo hazina maana inafaa unapojenga mawazo sahihi unatakiwa kuleta ushahidi wa kutosha na siyo kukaa tu wewe mwenyewe na kutunga story ya kupotosha
 
Mkuu sikuwa na maana hiyo, Haya ni baadhi ya majibu mbalimbali kutoka kwa wataalam na watafiti, but haihalalishi kuyafanya haya.
 
Suala hili lina utata mkubwa sana, kitu cha kwanza tukubali kuwa kuta nne za chumba zinaficha mengi.Sijapata kuona kusikia kuwa yule bwana fulani anamla tigo mkewe au yule fulani anamla tigo demu wake.Cha kushangaza tunasikia tuu kila siku kuwa tatizo linazidi kuwa kubwa, basi kama ni kweli wahanga wakubwa ni wenye ndoa au mademu kwa kujaribu mnato kisha wananata hukohuko tigoni.
Ila kwani kisichojulikana ni nini si kila dini imekataza mchezo huo.MIMI NAHISI KUENDEKEZA TIGO NI MTAZAMO WA KISHETANI TUU.
 
kutokana na mkanganyika katika jamii zetu kuhusu tahadhari au
madhara ya ngono kinyume na maumbile, ambayo mtaani inajulikana kama “mgongo” au “tigo.” ni kweli kuna madhara yanayoambatana na ngono ya aina hii. Lakini haya yaliyoorodheshwa yana ukweli wowote? Tuyapitie moja badala ya nyinge:

1.mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.
Kweli au si kweli? Si kweli. Hakuna wataalamu wowote duniani (medical professionals) waliofanya utafiti kuhusu tigo ambao wamesema hili. Na kwa wale walioulizwa,
wamekanusha.

2.pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.
Kweli au si kweli? Kama la mwanzo, hili pia si kweli. Limetungwa mitaani tu.

3. Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.
Kweli au si kweli? Kwa mujibu wa
wataalam, hii inatokea kwa wale tu wananogewa na kupenda kujiingiza vitu vikubwa na vigumu zaidi ya uume, kama matango, chupa, na vikorokoro vingine.

4. Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of colon’.
Kweli au si kweli? Wataalam
wamesema hakuna uhusiano wowote wa colon cancer na tigo. Kitu
kinachoongeza uwezekano wa kupata colon cancer ni kuambukizwa virusi vinayoitwa “human papilloma virus” kupitia tigo. Lakini kama mwanaume hana virusi hivyo, au ametumia mpira wa kinga, tigo haiongezi uwezekano wa kupata cancer hiyo.

5. Ugonjwa wa uti, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.
Kweli au si kweli? Hii ni kweli kama mwanaume akiingiza uume wake ukeni baada ya kuutoa tigo.

6. Hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
Kweli au si kweli? Nawageuzieni
nyinyi swali hili. Kweli au sio kweli? Fungukeni!

7. Mwisho kabisa baada ya
kuharibiwa ni kuwa na msongo wa mawazo na kuilaumu nafsi yako.
Kweli au si kweli? Si kweli. Hakuna uhusiano wowote wa tigo na msongo wa mawazo. Suala la kujilaumu nafsi ni tofauti kati ya mtu na mtu, na hakuna utafiti wowote unaoonyesha inahusiana na hili.
Madhara ya kweli yaliyoorodheshwa na wataalam, na si ya kutunga ni haya yafuatayo:

1. Uwezekano mkubwa wa
kuambukizwa magonjwa ya zinaa kama hiv, na hpv(human papilloma
virus, ambavyo kama nilivyosema awali, ni virusi vinavyoongeza uwezekano wa kupata colon cancer) kama mwanaume anayehusika ana virusi/bakteria wa magonjwa hayo

2. Kuchubuka ngozi ya njia kubwa, hasa kama lubricant(sirima au
vilainisho kama mafuta) havijatumika.

3. Kuumia njia ya haja kubwa, hasa kama vilainisho havijatumika, na kutumia vitu vingine vikubwa na vigumu kama uume wa bandia n.k

nawasalisha.

tuondoleeni hizi threads za ngono kinyume na maumbile tafadhali........hatuzitaki na tumezichoka. Zimekuwa nyingi mno!!! Kuanzia mwaka 2011 hadi leo hii ukihesabu kwa harakaharaka unaweza kupata threads zaidi ya mia tatu zote ni za ngono kinyume na maumbile!!! Ingawa zinakuja na title tofautitofauti. Mods tafadhali mjaribu kuzipunguza kama siyo kuzifuta kabisa maana zinaondoa maadili.........
Kisayansi, ukiona mtu anapenda ngono kinyume na maumbile basi kama ni mwanaume atakuwa amewahi kuingiliwa katika maisha yake. Au atakuwa anapenda kutiwa vidole na mwanamke anayefanya nae mapenzi. Huwezi kupenda kufanya kitu fulani bila ya kwanza wewe kuwahi kufanyiwa.....
Tumechoka kusikia huu uchafu kila siku. Bila kujali madhara yake ama hakuna madhara mijadala ya ngono kinyume na maumbile inapaswa kukoma ili kuondoa temptation ya watu ambao hawajawahi kufanya kujaribu kutaka kufanya.
Sina maneno mengine ninayoweza kuyasema zaidi ya kutaka mijadala ya aina hii isiwepo maana inadhalilisha mtoa mada mwenyewe kwamba yawezekana ameshawahi kuingiliwa kinyume na maumbile na ndo maana anataka kuungwa mkono.
 
ha ha ha. hii ya kutokuoa nadhani inaukweli, japo mwanamke anaweza kuolewa pengine. pia ningependa ufuatilie utafiti wa wale wanaokwenda chumvini na wanaolamba koni. utuambie madhara yake pia. me like that
 
tuondoleeni hizi threads za ngono kinyume na maumbile tafadhali........hatuzitaki na tumezichoka. Zimekuwa nyingi mno!!! Kuanzia mwaka 2011 hadi leo hii ukihesabu kwa harakaharaka unaweza kupata threads zaidi ya mia tatu zote ni za ngono kinyume na maumbile!!! Ingawa zinakuja na title tofautitofauti. Mods tafadhali mjaribu kuzipunguza kama siyo kuzifuta kabisa maana zinaondoa maadili.........Kisayansi, ukiona mtu anapenda ngono kinyume na maumbile basi kama ni mwanaume atakuwa amewahi kuingiliwa katika maisha yake. Au atakuwa anapenda kutiwa vidole na mwanamke anayefanya nae mapenzi. Huwezi kupenda kufanya kitu fulani bila ya kwanza wewe kuwahi kufanyiwa.....Tumechoka kusikia huu uchafu kila siku. Bila kujali madhara yake ama hakuna madhara mijadala ya ngono kinyume na maumbile inapaswa kukoma ili kuondoa temptation ya watu ambao hawajawahi kufanya kujaribu kutaka kufanya.Sina maneno mengine ninayoweza kuyasema zaidi ya kutaka mijadala ya aina hii isiwepo maana inadhalilisha mtoa mada mwenyewe kwamba yawezekana ameshawahi kuingiliwa kinyume na maumbile na ndo maana anataka kuungwa mkono.
Mkuu. , mbona umepaniki sana, au wew ndo wale wapenda tigo huku ukiubili madhala pekeyake.. pole sana mkuulengo si kuwafanya watu watende ngono knyume namaumbile, haya nimajibu ya wataalam . na hapa jamvini hakuna mtu aliyeshikiwa akili, nikiamin kuwa kila mtu anamisimamo yake kwenye maisha, so haimfanyi mtu abadilike na kuanza kufanya hvyo.Kikwazo kikuu ni laana aliyoitoa Mungu juu ya watu wa namna hii, so yatupasa kumuogopa Mungu tu maana amelikataza tendo hili si vinginevyo. . . Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom