Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Mbona unataka kuendeleza usodoma na gomora na wewe ukifunuliwa marinda yako mana am sure before ya kuoa ulishazini mara nyingi tu
 
Astagfirullah kama mume mwenyewe ndio anafkiriia hivi, dah! namskitikia shemeji yetu maana umeona ili upate uhalali wa jambo basi uje utuulize na sisi
 
wadau kwa sisi ambao tumekuta wake zetu hawana tena bikra,kuna haja ya kumfumua marinda ya nyuma ili kujenga heshima na kumbukumbu au unamsamehee bure,uendelee kula makombo?
Kumuingilia Mkeo kinyume na Maumbile hakuleti kwako wewe mfanyaji heshima kwa mkeo bali kunaleta wewe kwako mfanyaji dharau kwa mkeo. ukiwa unapenda kumuingilia mkeo kwa kinyume na maumbile basi hata siku akikusaliti mkeo na yule atakae mpelekea atampa hiyo tigo uliye anzisha wewe kazi yake .Kwa hiyo usifanye kabisa kitendo hicho.

MADHARA SABA KWA MWANAMKE AKIINGILIWA KINYUME CHA MAUMBILE

1.Mwenyeezi Mungu humchukia sana mtu huyo (Mfanyaji Mwanamme na Mfanywaji mwanamke)

2.Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribukumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.

3.Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter' kulegea na kusababisha ambane mtoto.

4. Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.

5. Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of colon'.

6. Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.

7. Hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
 
Hivi kwelu mkeo unafikiria kumfanyia hivyo !!!!!loo yaani mwanamke uliyenoenda kuliko wanawake wote duniani naamini utakuwa huna mke!!!!! siku ukiwa namke utajua thamaniyake. yaaani anakuzalia watoto unawza ufirauni juu yake . waxha mengine ya kukupikia kukuandalia vote
 
wadau kwa sisi ambao tumekuta wake zetu hawana tena bikra,kuna haja ya kumfumua marinda ya nyuma ili kujenga heshima na kumbukumbu au unamsamehee bure,uendelee kula makombo?

don cartagena...i missed big pun..big punisher....i missed fat joe....i missed terror squad.....don cartagena merrious te meyanaaaaaaaaaa.

Hastla vista babyyyyyyyyyyyyy

kuku kuku jogooooooo jina kokoriko mbwembwe....ingekuwa ubabae wa jogooo kuwika kungezuia jua lisichomozeeeeee.

Ni hayo tuuuuuu....
 
ni sawa na kuvunja misikiti 40 ,je utaijenga lini ili allah akusamehe?
 
wadau kwa sisi ambao tumekuta wake zetu hawana tena bikra,kuna haja ya kumfumua marinda ya nyuma ili kujenga heshima na kumbukumbu au unamsamehee bure,uendelee kula makombo?

GOD forbid!
 
wadau kwa sisi ambao tumekuta wake zetu hawana tena bikra,kuna haja ya kumfumua marinda ya nyuma ili kujenga heshima na kumbukumbu au unamsamehee bure,uendelee kula makombo?

Ww siyo mzma....na ww bikra huna..je tukufumue??
 
Ndoa hizi jamani ni mtihani kweli mme anafikiria jins yakumfumua marinda wife ni hasara pole yake naona tayari alishaanza kuliwa huyo
 
We muingilie tu utakapokuta hao waliotangulia walishapitia hadi kwenye hayo marinda sijui utamuomba umuingilie masikioni...
 
wadau kwa sisi ambao tumekuta wake zetu hawana tena bikra,kuna haja ya kumfumua marinda ya nyuma ili kujenga heshima na kumbukumbu au unamsamehee bure,uendelee kula makombo?

ha ha ha ha umeianzisha siku yangu kwa kicheko daaa
fumua tu ujenge heshima mmamae
 
Back
Top Bottom