Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kuku wakitaga hula mayai na nguruwe hula watoto inatokana na upungufu wa madini mwilini kama ukiwazungatia hawawezi kulaNguruwe akizaa msosi hakuna anapita navyo
Hua akizaa anakagua kw kunusa au kumgeuza (bodycheck)au anasogea mbele kidogo anaangalia yule dhaifu akiona ambae hayuko sawa kuna 2. Anauwa kabisa anabeba kutupa au kama ana njaa anatafuna kabisa.Habari wanajukwaa!
Ningependa kujua kwa nini baadhi ya wanyama, hasa mamalia na wengine, hula watoto wao dhaifu au waliokufa mara tu baada ya kuzaliwa. Mara nyingi huwa ni tabia ambayo ipo kwa paka, mbwa, fisi pamoja na wanyama wengine, kwani ni vigumu sana kuona amezaa na kukuta vitoto vyake vikiwa hoi taabani au vimepoteza maisha?
View attachment 3261696
Je, ni tabia ya kiasili au kuna sababu nyingine za kisayansi zinapolekea kutokea kwa jambo hili?
View attachment 3261695
Binafsi nimepata kuwa na mbwa katika makazi yangu kwa vipindi tofauti, na mara kadhaa sijawahi kukutana na kitoto cha mbwa kikiwa dhaifu ama kimekufa na mama yao hajawatafuna.
View attachment 3261697
Natamani sana kufahamu kwanini huwa wanawapiga menu, huwa ni njaa tu ama kuna jambo jingine nyuma ya pazia?
Shikamoo blazaNATURE ECOLOGY
AiseeHua akizaa anakagua kw kunusa au kumgeuza (bodycheck)au anasogea mbele kidogo anaangalia yule dhaifu akiona ambae hayuko sawa kuna 2. Anauwa kabisa anabeba kutupa au kama ana njaa anatafuna kabisa.
Hii ni hulka yao mnyama mwenye miguu 4 mwwnye asili ya kuishi porini au jangwani hua hawapendi kuona wakisumbuliwa na watoto ambao ni mzigo kwao wakati wa kusaka au kusafiri.
Marhaba MkuuShikamoo blaza
Niliwahi kusikia hivi.Kuna kuku wakitaga hula mayai na nguruwe hula watoto inatokana na upungufu wa madini mwilini kama ukiwazungatia hawawezi kula