Kwanini wanyama huwa wanakula watoto wao wadhaifu mara baada ya kuzaa?

Mchakato wa uchungu na kuzaa humuacha akiwa dhaifu na mwenye njaa, kwa carnivorous kua weak means anakua prey kwa predators so anakula offspring dhaifu ili kurudisha nguvu alizopoteza
 
Wanasema kama paka wakikosa chakula,wanakula watoto wao.
Paka hawafugiki.
Wanazaana Ile mbaya.
Ni lazima yule feline aondolewe kizazi.
 
Hua akizaa anakagua kw kunusa au kumgeuza (bodycheck)au anasogea mbele kidogo anaangalia yule dhaifu akiona ambae hayuko sawa kuna 2. Anauwa kabisa anabeba kutupa au kama ana njaa anatafuna kabisa.
Hii ni hulka yao mnyama mwenye miguu 4 mwwnye asili ya kuishi porini au jangwani hua hawapendi kuona wakisumbuliwa na watoto ambao ni mzigo kwao wakati wa kusaka au kusafiri.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…