MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
- #61
Kama vita ya Kagera ilikuwa ilikuwa ni ya kidini, kwanini taifa la Kiislamu la Algeria liliiunga mkono Tanzania ?Mbona hili swali alijibiwi hamna anaye jua jamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vita ya Kagera ilikuwa ilikuwa ni ya kidini, kwanini taifa la Kiislamu la Algeria liliiunga mkono Tanzania ?Mbona hili swali alijibiwi hamna anaye jua jamani?
Dah! Wee jamaa banha umeachanisha sana maneno afu hujajibu swali uliloulizwa au Mimi ndo sinakuelewa?DAR ES SALAAM, Tan zania, Oct. 7 (Reuters)—Tan zania and Uganda have agreed to end hostilities and to pull all forces back from their com mon border by Oct. 19.
The pledge came in a Somali mediated peace agreement signed in Mogadishu two days ago and made public In Dar es Salaam, Kampala and Mo gadishu tonight.
Both sides also pledged to stop hostile propaganda and to “refrain from harboring or allowing subversive forces in the territory of one state against the other.”
The agreement comes at the end of two years of hostile re lations between the two African states, which were close to war three weeks ago when a Ugan dan exile force loyal to the for mer President Milton Obote, crossed into Uganda from Tan zania in a bid to overthrow President Idi Amin.
“The Government of the Re public of Uganda and the Gov ernment of the United Repub lic of Tanzania have agreed to end all hostilities between them and restore peace and ce ment the fraternal ties that have always existed among their peoples,” the agreement said.
'Kama hoja ni dini, mbona ALGERIA taifa la kiislamu liliiunga mkono Tanzania na kutoa msaada muhimu kabisa ?
Hao PLO walishawahi kupewa hifadhi nchi fulani ya kiarabu.Tanzania imeunda mahusiano na PLO hata kabla Iddi Amin hajawa Raisi wa Uganda. Swali linakuja, kwanini mbali na kuwaunga mkono na kuwasemea huko duniani, waliamua kuishambulia Tanzania ?
Hao PLO walishawahi kupewa hifadhi nchi fulani ya kiarabu.
Wakaishia kuanzisha vita ya kumpindua Rais wa Nchi hiyo.
'
Kuna Sheikh wa Naijeria kapewa Uraia wa Marekani kwasababu ali-harbor kundi la wakristo wasiuliwe na ISWAP lakini tukio ili aliondoi ukweli kuwa Christian communities in Nigeria have been under unreported siege by Muslims.
Juzi 190 wakristo wamekwenda na maji.
So, hata kama Algeria ilifanya kinyume na PLO hiyo haiondoi ukweli kuwa PLO kumsaidia Amini ilikuwasukumwa na Dini zaidi.
PLO haikumuunga mkono Idi Amin.Tanzania ilikuwa moja ya nchi kinara barani Afrika kutetea haki za Wapalestina. Nchi hii ilienda mbali na kuamua hata kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na nchi ya Israel mwaka 1973 baada ya shinikizo la nchi za kiarabu zilizokuwepo ndani ya O.A.U kuwa kubwa.
Ikumbukwe Israel walikuwa na mchango mkubwa kwa Tanzania kuliko hata Palestine, kwasababu wao ndiyo walisaidia katika kufundisha maafisa wengi wa jeshi la Tanzania, akiwemo Marehemu Generali Muhiddin Kimario, pamoja na kusuka JKT.
Mwaka 1973, baada ya vita vya Yom Kippur nchi nyingi za Afrika zilivunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel, na kuanza kutetea haki za Wapalestina. Ukisoma nyaraka za OAU, moja katika falsafa inazozipinga ni UZAYUNI (ZIONISM) na UBAGUZI WA RANGI (APARTHEID).
Tanzania ilikwenda mbali na kuanza kutetea haki za wapalestina kule UN. Kinachoshangaza ni kwamba Palestine Liberation Organization (PLO), mbali na kuwa marafiki wa Tanzania, walijiunga na vikosi vya Libya katika kumsaidia Idd Amin ambaye alikuwa anapambana na Tanzania.
Ikumbukwe tu, mwaka 1973 Tanzania ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuitambua PLO na kuruhusu kundi hilo kujenga makao yake jijini Dar es salaam. Ofisi za PLO jijini , Dar es salaam ndiyo yalikuwa makao makuu ya PLO barani Afrika. Katika moja ya nukuu ambayo Mzee Nyerere aliwahi kuitoa kuhusu Palestina ni hii:
"Kizazi chetu kilikuwa kizazi cha mapambano ya utaifa kwa ajili ya uhuru wa nchi zetu … lakini hali ya Wapalestina ni tofauti sana na mbaya zaidi, Wamenyang’anywa nchi yao wenyewe, Kwa hiyo wanastahili kuungwa mkono na Tanzania na dunia nzima"
Najiuliza tu, chanzo kikubwa cha PLO kuisaliti nchi ambayo ilikuwa inawatetea hivi ni nini ?
View attachment 2857800
Kaka naongelea from my experience, miaka yangu yote ya kwenda kanisani hata siku moja sijawahi kusikia wanaongelea uislamu kanisani. Mimi ni mkatoliki.Haya mambo mnafundishwa Sunday school. Mnatiwa sumu dhidi ya waislam na uislam. Mkija humu mnaandika utumbo usiokichwa waala miguu
Hapo nimetaja maslahi na dini, Algeria anaweza kuwa alikuja kimaslahi au kwa good cause.Ndugu zetu waislamu huenda mbali na kusema kwamba ile vita ya Kagera ilikuwa dhidi ya Uislamu na wanailaani kabisa. Ila uhalisia unaipinga kabisa hii hoja yao. Kama ile vita ilikuwa ni ya kidini, kwanini taifa la kiiarabu na kiislamu la Algeria liliisaidia sana Tanzania hadi kushinda ?
Na kuweka kumbukumbu Sawa kuna meli ilitoka Algeria na kutia Nanga bandari Salama ambayo inasadikiwa kuwa na siraha ambazo zilisaidia katika mapinduzi ya Zanzibar na ilipokelewa na Oscar Kambona.Likini kwanini nchi ya kiislamu na kiarabu, ALGERIA iliiunga mkono Tanzania ?
Makai makuu ya PLO yalikuwa wapi Dar es salaam- Sinza Palestina,??Mwaka 1973, Tanzania ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuitambua PLO na kuruhusu makao yao makuu barani Afrika yajengwe jijini Dar es salaam. Halafu hilo la Iddi Amin kuwa kambi ya ubepari ndiyo nalisikia leo kutoka kwako na nitafurahi kama utanipa chanzo cha hii habari yako.
Karibu sana..
View attachment 2857809
Awali Amin alikuwa na urafiki na Israel na walikiwa wanampa silaha.Lakini kuna kipindi wakataaa kumpa silaha.Amin akasirika akaanza kuwaunga mkono wapalestina ila kumkomoa IsraelAnhaa kwahiyo Iddi Amini kuwasaidia wapalestina, ndiyo iwe chanzo cha PLO kuwasaidia kuishambulia Tanzania ?
Awali Amin alikuwa na urafiki na Israel na walikiwa wanampa silaha.Lakini kuna kipindi wakataaa kumpa silaha.Amin akasirika akaanza kuwaunga mkono wapalestina ila kumkomoa Israel
Ni kweli kabisa, Idd Amin na yeye pia alikuwa mtetezi mkubwa wa Palestina, yaweza kua ndio sababuPorojo la kanisani hili ulioandika
Kwanini walipinduliwa kama unafikiri hao walikuwa sahihiHuwezi ona taifa jirani linahifadhi waasi alafu ukawa unawachekea hovyo,hiki ndicho alicho kuwa anafanya Tanzania kwa kuwa hifadhi baadhi ya viongozi walio pinduliwa wa Uganda.
Pia Kuna Mogadishu accord ilisainiwa Kati ya Tanzania na Uganda ili kutoa tishio la Vita.
Ni kweli kabisa, Idd Amin na yeye pia alikuwa mtetezi mkubwa wa Palestina, yaweza kua ndio sababu
Israel walikuwa na mahusiano mazuri vip na Tz wakati Nyerere alikuwa akiwapinga? Hata mahusiano ya kibalozi kati ya Tz na Israel kulikuwa hakuna?Siyo tu kumpa silaha, Israel ndiyo walimpa pia mafunzo ya kijeshi Bwana Idd Amin hadi akawa askari wa mwamvuli (Paratrooper). Tatizo ni kwamba mwaka 1971-1972, alipotaka kuvamia Tanzania, akaomba silaha nchini Israel, Wayahudi kwasababu walikuwa na mahusiano mazuri na Tanzania wakakataa. Idd Amin akachukia akageukia kwa wakina Muammar Ghaddafi ambao walimuahidi silaha za kutosha.
Jambo ambalo linashangaza ni kwamba, Israel walikataa kumpa Idd Amin silaha kwasababu walikuwa na mahusiano mazuri na Tanzania. Lakini PLO walikubali kumsaidia Idd Amin mbali na kwamba Tanzania alikuwa ni mshirika wao mzuri. Yaani WAZAYUNI waliwashinda kabisa PLO kwenye suala zima la diplomasia na uungwana.
Israel walikuwa na mahusiano mazuri vip na Tz wakati Nyerere alikuwa akiwapinga? Hata mahusiano ya kibalozi kati ya Tz na Israel kulikuwa hakuna?