Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

Kuna nini Kimejificha hasa juu ya huu Utaratibu wao ambao kwa wanaopenda Kufikiri ( Akili Kubwa ) wanaweza kudhani Wapemba wana Roho Mbaya na Wakatili?
Aloo popoma mtu akifa atafufuka kesho yake kwani na kipi kinacho subiriwa mpaka asizikwa siku hiyo hiyo?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni mapokeo tu toka enzi hizo hata majokofu hayakuwepo na kwa joto la arabuni isingewezekana kulaza maiti,uislam kila lililo la mwarabu ni la mnyazi mungu,funny truth!
 
Na kweli hili lilikuwa relevant enzi hizo ambapo hakukuwa na mechanisms za kuhifadhi miili kwa muda mrefu.......unaweza kujikuta unazika mtu ambaye kazimia tu hajafa, haraka ni ya nini hasa?
 
Hivi umeyaona maswali ya hiyo hoja yangu au umekurupuka

Nakuuliza tena tupe faida ya kukaa na marehemu zaidi ya siku mbili pasi na kuzikwa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa ndoa na kifo uislamu wapo sahihi , mtu akifariki no wastage of time anatakiwa apumzishwe mapema Sana , asubiri ujio wa Yesu mara ya pili ... Kwa wakristo ni tabu tupu , maiti inazungushwa weee anasubiriwa sjui nan nan yupo nje , mara ikaombewe yaan vurugu tupu
 
Yesu baada ya kufa kakaa siku ngapi ndio akazikwa

Kuwahi kuzika ndio busara zaidi kuliko kukaa na kiumbe kisicho hai ndani unataka kifanyaje humo kwenye jokofu kizae au?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na kwa nini kuchelewa kuzika isiwe busara, vipi kama huyo mtu kazimia..........huoni kuchelewa ndo busara zaidi?
 
Na kweli hili lilikuwa relevant enzi hizo ambapo hakukuwa na mechanisms za kuhifadhi miili kwa muda mrefu.......unaweza kujikuta unazika mtu ambaye kazimia tu hajafa, haraka ni ya nini hasa?
Doctor ndio ana prove kwamba huyu mtu amesha fariki na sivingine kwahiyo hakuna nafasi ya kuzika mtu ambaye yupo HAI na kila DINI ina mila na desturi zake kwahiyo fata ya kwako unayo ona wewe yana faa kwa mila yako maisha ni very simple watu ndio huya fanya magumu sababu mtu hutaka lile jambo lake liwe sawa la mwingine sio sawa.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Ni mapokeo tu toka enzi hizo hata majokofu hayakuwepo na kwa joto la arabuni isingewezekana kulaza maiti,uislam kila lililo la mwarabu ni la mnyazi mungu,funny truth!
Hapa unalazimisha mafungamano baina ya Uislamu na mila na dasturi za waarabu.

Kitu ambacho hakipo.

Sasa hata kama kunamajokofu kuna faida gani ya kukaa na maiti ndani? and what difference does it make, kumzika marehemu mapema au kumchelewesha? Ilhali ameshakufa
 
Back
Top Bottom