monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mnapo waweka kwenye majokofu ni kwa kuwa hamuna uhakika/ hamuamini kuwa kweli wamekufa.Na kweli hili lilikuwa relevant enzi hizo ambapo hakukuwa na mechanisms za kuhifadhi miili kwa muda mrefu.......unaweza kujikuta unazika mtu ambaye kazimia tu hajafa, haraka ni ya nini hasa?
Wale ambao wameenda kuzinduka mochwari kwani doctor alikuwa haja prove..........sioni haja ya kukimbizana kwenda kuzika, muda wa kutosha utolewe kufanya maandalizi yote muhimu na hata kuwasubiri ndugu wengine.Doctor ndio ana prove kwamba huyu mtu amesha fariki na sivingine kwahiyo hakuna nafasi ya kuzika mtu ambaye yupo HAI na kila DINI ina mila na desturi zake kwahiyo fata ya kwako unayo ona wewe yana faa kwa mila yako maisha ni very simple watu ndio huya fanya magumu sababu mtu hutaka lile jambo lake liwe sawa la mwingine sio sawa.
Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
Hata mimi namsubiri ataje hizo faida.Hivi umeyaona maswali ya hiyo hoja yangu au umekurupuka
Nakuuliza tena tupe faida ya kukaa na marehemu zaidi ya siku mbili pasi na kuzikwa?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Imetokea mara ngapi na kwa muda gani tangu marehemu apelekwe monchwal?Wale ambao wameenda kuzinduka mochwari kwani doctor alikuwa haja prove..........sioni haja ya kukimbizana kwenda kuzika, muda wa kutosha utolewe kufanya maandalizi yote muhimu na hata kuwasubiri ndugu wengine.
[emoji23]Kazimia [emoji1787]
Kwa hiyo wengine huifadhi mwili kwenye jokofu kwa masiku kadhaa wakiamini mpendwa wao atazinduka!?[emoji16][emoji2296]
Kuna kusubiri ndugu na watu wengine muhimu wakiwemo watoto, mke na ndugu wengine ambao inaweza kuwachukua muda kufika kutokana na umbali, hili wewe huoni ni la muhimu?Imetokea mara ngapi na kwa muda gani tangu marehemu apelekwe monchwal?
Unafosi taratibu za watu wengine zifanane na za kwako?
Kuna faida gani ya kuchelewesha kuzika?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wafukie mwili wako au weweSio wapemba tu hata mimi nikifa ikiwezekana nisipitishe masaa matano wanifukie
Kazimia [emoji1787]
Kwa hiyo wengine huifadhi mwili kwenye jokofu kwa masiku kadhaa wakiamini mpendwa wao atazinduka!?[emoji16][emoji2296]
Tunazo shuhuda za hili, Lazaro alifufuka baada ya kukaa kaburini na kutoa harufu, Yesu alifufuka baada ya kukaa kaburini kwa siku tatu.............hivi vitu haviwezekani tu kwa mnyaazi maana hata mtume wake hakufufuka.Kwa hiyo mnapo waweka kwenye majokofu ni kwa kuwa hamuna uhakika/ hamuamini kuwa kweli wamekufa.
Hivyo huwa mnasubiri huwenda wakazinduka?
Dini utamaduni watu wanabisha.hivi unajua tamaduni hiyo wametoa sehemu mwili wa binadamu ukifa unaoza haraka sababu ya joto.ndio maana wanazika harakaKuna nini Kimejificha hasa juu ya huu Utaratibu wao ambao kwa wanaopenda Kufikiri ( Akili Kubwa ) wanaweza kudhani Wapemba wana Roho Mbaya na Wakatili?
Wakifika watasaidia kuhusu afya ya marehemuKuna kusubiri ndugu na watu wengine muhimu wakiwemo watoto, mke na ndugu wengine ambao inaweza kuwachukua muda kufika kutokana na umbali, hili wewe huoni ni la muhimu?
Ni mambo matatuSawa sisi tunaharakisha vitu viwili mazishi na ndoa
Mazishi umesema joto tufanye Sawa
Haya na ndoa?
Hao ndio wakaawambia msizike mapema huenda wakafufuka?Tunazo shuhuda za hili, Lazaro alifufuka baada ya kukaa kaburini na kutoa harufu, Yesu alifufuka baada ya kukaa kaburini kwa siku tatu.............hivi vitu haviwezekani tu kwa mnyaazi maana hata mtume wake hakufufuka.
Unataka mkae na mzoga hadi lini,wa nini au mnataka kugawana nyama!Kuna nini Kimejificha hasa juu ya huu Utaratibu wao ambao kwa wanaopenda Kufikiri ( Akili Kubwa ) wanaweza kudhani Wapemba wana Roho Mbaya na Wakatili?
Hao ndio wakaawambia msizike mapema huenda wakafufuka?
Mbona hao wamefufuka wakiwa kaburini teyari?
Kwanini nyie msizike tu watafufukia wakiwa washazikwa?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hoja iko hivi alifufuka akiwa wapi?Unajua baada ya Lazaro kufa walisubiri siku ngapi ili Yesu aje, na alipochelewa mwili ukaanza kuharibika ndo wakaenda kumzika, ndo maana nikakwambia sisi tunaamini kwenye huo uwezekano kwa sababu Mtume wetu Yesu Kristo alishinda kifo na hata leo anaishi.