25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
wewe unajua mtu alio kufa zaidi ya wengine? mtu akisha kufa chake ni sanda tu na kufukiwa hii tabia ya kuweka mzogo kwenye jokofu mbona imeaza juzi zamani wakizika mapema tuNa kwa nini kuchelewa kuzika isiwe busara, vipi kama huyo mtu kazimia..........huoni kuchelewa ndo busara zaidi?