Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

Ni mapokeo tu toka enzi hizo hata majokofu hayakuwepo na kwa joto la arabuni isingewezekana kulaza maiti,uislam kila lililo la mwarabu ni la mnyazi mungu,funny truth!
Kuna tuhesabu tulikua tunasoma ilikuwa inaitwa logic mathematics science [emoji1787][emoji1787] Nilikua sielewi lengo lake, kumbe ilikua kuamsha reasoning capacity! [emoji137][emoji137][emoji137]
 
Wale ambao wameenda kuzinduka mochwari kwani doctor alikuwa haja prove..........sioni haja ya kukimbizana kwenda kuzika, muda wa kutosha utolewe kufanya maandalizi yote muhimu na hata kuwasubiri ndugu wengine.
Story za mitaani hizi
 
Hiyo ya joto wanaongopa Yesu baada ya kufa kakaa siku ngapi ndio akazikwa

Hao ni wakurupukaji tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Reason ya YESU kuzikwa haraka ilikuwa kuepuka mwili wake kubaki msalabani , maana ilikuwa ni kinyume Cha Sheria za torati maana ijumaa ni maandalizi ya sabato.
Mbona mnakua na hoja za kudandia, wenzako wanasema hakufa we unasema alizikwa!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na kweli hili lilikuwa relevant enzi hizo ambapo hakukuwa na mechanisms za kuhifadhi miili kwa muda mrefu.......unaweza kujikuta unazika mtu ambaye kazimia tu hajafa, haraka ni ya nini hasa?
Hata leo, hayo majokofu, yapo hospitali chache sana za mjini,. kama unaishi Dar, angalia pamoja na kuwepo haspital nyingi, ni haspital ngapi zenye majokovu.
Hata mkimuweka siku kadhaa marehemu, kabla ya kuzika hakuna kinachoongezaka zaidi, garama za msiba kuongezeka. Kuwalisha waombolezaji, na mahitaji mengine, hata bili ya kutunza mwili jokovuni huwa kubwa.
 
Nikae na maiti siku mbili ili iweje?
Wanasema kuzika haraka, wengine, tunawzila wakiwa hai, mtu kafia hospital, madoktali wamejiridhisha kuwa kuwa ni kifo.

Mtu huyu anavuvukaje, tujiulize kuna matukio mangapi ya watu wanao wekwa mda mrefu, bila kuzikwa kufufuka, mara nyingi tunasikia habari za kusadikika tu, na kama wapo wanasadika kufufuka, imani za kishirikina huhusika na huyo, anaesadika, huwa mapungufu ya akili.
 
Kwa ndoa na kifo uislamu wapo sahihi , mtu akifariki no wastage of time anatakiwa apumzishwe mapema Sana , asubiri ujio wa Yesu mara ya pili ... Kwa wakristo ni tabu tupu , maiti inazungushwa weee anasubiriwa sjui nan nan yupo nje , mara ikaombewe yaan vurugu tupu
Yaani ndugu yangu, umeandika point, sana, mara nyingi, mtu akifa akizikwa tunasema amepunzishwa, na kuombewa dua ya apunzike kwa Amani.

Sasa kama kuzikwa ni kupunzishwa, kwanini tuhoji tena kuzikwa mapema.
 
Nimekwambia walimsubiri Yesu kwa siku kadhaa hadi mwili wa Lazaro ukaharibika ndo wakaenda kumzika, kwa nini wewe unatulazimsha tukazike baada ya sekunde mbili ili hali bado tuna fursa ya kuwasubiri ndugu wengine na Yesu pia akiwemo kwenye hiyo list ya watu wanaosubiriwa kuja..........maana sisi tuna uhakika anaishi na anaweza kufanya jambo lolote hata leo hii.​
Jibu swali nyumisi acha kukwepa swali ,je Yesu au Lazaro walifufuka wakiwa wapi kwenye jeneza au ndani ya kaburi??? Mantiki Ni kuwa nyie mnakaa nae maiti huku mkipombeka na kusubiri afufuke ,hao mnaowataja kuwa walifufuka walikuwa washazikwa
 
Huoni walichuka siku kadhaa hadi mwili wa Lazaro ukaanza kuharibika, wakimsubiri Yesu afike........kama unasisitiza hoja ya kuzika, nabii Eliya alimfufua mtoto ambaye mama yake hakumzika bali alimlaza kitandani hadi nabii alipofika........kwa hiyo hakuona mantiki ya kwenda kumzika mtoto wakati aliamini nabii atafika......hivyo hapa hoja ya kukimbizana makaburini kuzika inakosa mashiko.​
 
Huyo Eliya alikuwa wa bara gani na mama yake?
 
Reason ya YESU kuzikwa haraka ilikuwa kuepuka mwili wake kubaki msalabani , maana ilikuwa ni kinyume Cha Sheria za torati maana ijumaa ni maandalizi ya sabato.
Mbona mnakua na hoja za kudandia, wenzako wanasema hakufa we unasema alizikwa!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekurupuka kujibu hoja umeona umemaliza

Soma comment zangu nyingine

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo unataka tukae wiki nzima tukisubiri kuona kama atafufuka eti,?
Huwezi kusubiri wiki nzima kama huna imani hiyo ya ufufuko, hii imani haipo kule kwa mnyaazi kwani hata mtume wa mnyaazi hakufufuka kama alivyofufuka Yesu ndo maana hamuwezi kuona haja ya kusubiri, wakati Lazaro alipokufa walimsubiri Yesu kwa siku kadhaa hadi akaanza kutoa harufu ndo wakaamua kwenda kumzika.
 
Unahangaika na kitu ambacho hakitatokea kwako

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unahangaika na kitu ambacho hakitatokea kwako

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa unavyoamini wewe hakiwezi kutokea, si ninavyoamini mimi...........maana mwenye uwezo huo yupo anaishi, kama alivyomfufua Lazaro anaweza kumfufua mtu mwingine yoyote leo hii na hapo ndo imani ya wafuasi wa huyo Yesu iliposimama, imani ya ufufuko kutoka wafu.......yeye mwenyewe akiwa ameshinda kifo kwa kufufuka kutoka mautini.
 
Sio wapemba,,bali Dini ya kiislam imeamrisha hivyo.

Mambo 3 yafanywe haraka yanapotokea.
-- mtu akifa azikwe haraka.
--mtu akitaka kuslim basi mfanye haraka.
-- swala..( muda ukifika basi hakuna subiri,, watu waswali)

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
3 ni NDOA sio SWALA
 
Kwa unavyoamini wewe hakiwezi kutokea, si ninavyoamini mimi...........maana mwenye uwezo huo yupo anaishi, kama alivyomfufua Lazaro anaweza kumfufua mtu mwingine yoyote leo hii na hapo ndo imani ya wafuasi wa huyo Yesu iliposimama, imani ya ufufuko kutoka wafu.......yeye mwenyewe akiwa ameshinda kifo kwa kufufuka kutoka mautini.
Siku nyingine msilazimishe imani zenu za ajabu ajabu kwa watu wengine.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom