Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

nyiyi wakina miujiza mnapo chelewesha kuzika huo mzoga unafufuka na kuwa hai?
Ilishatokea mara kibao, Yesu mwenyewe alifufuka siku ya tatu baada ya kufa, Lazaro alifufuliwa na Yesu baada ya kufa na kuzikwa, Nabii Eliya alimfufua mtoto aliyekuwa amekata roho na kumrudisha kwa mama yake. Kwa hiyo tunaongea jambo tulilo na imani na ushuhuda nalo.
 
Nimekwambia walimsubiri Yesu kwa siku kadhaa hadi mwili wa Lazaro ukaharibika ndo wakaenda kumzika, kwa nini wewe unatulazimsha tukazike baada ya sekunde mbili ili hali bado tuna fursa ya kuwasubiri ndugu wengine na Yesu pia akiwemo kwenye hiyo list ya watu wanaosubiriwa kuja..........maana sisi tuna uhakika anaishi na anaweza kufanya jambo lolote hata leo hii.​
Hao ndugu wa Lazaro walikua wakiristu mpaka wamsubiri yesu au walikua wanabahatisha kumngoja mfanya miujiza...Kama hawakuwa wakiristo basi suala la kungoja/kuchukua muda mrefu siyo la kikiristo sababu si maagizo ya kristo
 
Walikuwa ni wafuasi wa Yesu na waliamini katika uwezo wake wa kuzuia Lazaro asife, lakini hawakuwa na imani kama angeweza kumfufua Lazaro baada ya kufa, ndo maana alipofika wakaanza kulia kwamba angekuwepo Lazaro asingekufa na hata alivyowaambia kwamba ataweza kuishi walimwambia ameshazikwa muda na ameshaharibika.​
 
Thibitisha
 
Ni mapokeo tu toka enzi hizo hata majokofu hayakuwepo na kwa joto la arabuni isingewezekana kulaza maiti,uislam kila lililo la mwarabu ni la mnyazi mungu,funny truth!
We umejibu kwa mtazamo finyu.....hujui hata katika dini limeongelewa hilo???

Huwa napenda sana kusema ni bora kupita kimya katika post kuliko kucomment kihisia zako na mihemko pasi na kuwa na maarifa ju ya Mada husika.....

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kusubiri wiki nzima kama huna imani hiyo ya ufufuko, hii imani haipo kule kwa mnyaazi kwani hata mtume wa mnyaazi hakufufuka kama alivyofufuka Yesu ndo maana hamuwezi kuona haja ya kusubiri, wakati Lazaro alipokufa walimsubiri Yesu kwa siku kadhaa hadi akaanza kutoa harufu ndo wakaamua kwenda kumzika.
Haya tukiondoa hao Yesu na Razolo, ambao waumini hamjawaona, Kwa kufuata kuto zika mapema, ni Wakristo wangapi tunaoishi na tunashuhudia Wakifufuka baada ya kufa na kuwekwa siku kadhaa bila kuzikwa.
 
Kuna uchunguzi ulifanyika sikumbuki ni nchi gani lakinj waligundua kuna baadhi ha watu walizikwa wakiwa hai ikizaniwa wamekufa na sababu yao kusema hivi ni kukuta ndani ya jeneza kuna mikwaluzo kama mtu alisota wakati anatafuta namna ya kutoka na pia mabaki ya mwili hayakuwa kwenye uelekeo ambao mwili ulivyozikwa mara ya kwanza
 
Yesu baada ya kufa kakaa siku ngapi ndio akazikwa

Kuwahi kuzika ndio busara zaidi kuliko kukaa na kiumbe kisicho hai ndani unataka kifanyaje humo kwenye jokofu kizae au?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na kimsingi kukaa na maiti ndani ni mila za kimagharbi....kama sisi twaiga kwa waarabu kuzika haraka( japokuwa ni uongo hatuigi kwa waarabu Bali ni mafundisho ya bwana mtumi(saw)) basi yeye atambue anaiga kwa wathungu maana hata yule yesu alizikwa mapema tu baada ya kuukata

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Ni utamaduni tu waliojiwekea, ni sawa na sisi tunavyoishi kwa kufuata katiba
 
Fanya utafiti, usipende kutafuniwa...
Utafiti ni fani ndugu yangu, ila nina uhakika hakuna hata mtu mmoja aliefufuka mochuary kwa mika hivi karibuni, yenye utandawazi alafu tusijue.

Mara nyingi wanaosadikika kufa, na kuonekana baadae wanahusishwa kufa kishirikina, wengi wao huwa matatizo ya akili.
 
Dini utamaduni watu wanabisha.hivi unajua tamaduni hiyo wametoa sehemu mwili wa binadamu ukifa unaoza haraka sababu ya joto.ndio maana wanazika haraka
Kama dini desturi why wajihita kaka yake shetani??? That's means you believe the presence of Satan hence the religion is true!

Acha blah blah

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Haya,hayo ya kukaa muda mrefu na maiti yanakuaje maagizo ya kikristo/yesu!?
Sijasema ni maagizo ya Yesu, nilisema waliamini katika uwezo wa huyo Yesu kuzuia Lazaro asife kwa hiyo waliendelea kumsubiri kwa muda zaidi hata baada ya Lazaro kufa..
 
Unajua baada ya Lazaro kufa walisubiri siku ngapi ili Yesu aje, na alipochelewa mwili ukaanza kuharibika ndo wakaenda kumzika, ndo maana nikakwambia sisi tunaamini kwenye huo uwezekano kwa sababu Mtume wetu Yesu Kristo alishinda kifo na hata leo anaishi, kwa hiyo sisi kukimbizana kwenda kuzika is not our priority!​
Dah! Kwahiyo unaamini katika kufufuka zama hizi??

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom