Nchi hiyo hospitali zake, hazina wataalamu wa kutambua mtu aliekufa, siyo kila kinachoandikwa humu uchukilie ni kweli, huwezi kuwekewa pamba kwenye kwenye matundu yote ya fahamu, Uwekwe jenezani, lilisibiwa na karatasi ya nailon kuzuia mivujo, na uwekwe sehemu ya baridi kali, ukiwa hoi, alafu ndo upone baadae upate na nguvu ya kukwaruza jeneza.
Hii siamini maana kama ni kweli, Tanzania hii wachaga wanafia nje ya Kilimanjaro, wangeongoza kufufu, ila wao huzikana siku maalumu, kama mila tu, siyo sababu za kiimani.