Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

Vp USHOGA unapractice??? Maana POPE karuhusu mkazwe vp nije na wese??
Ndugu zenu katika imani ya mnyaazi ndo walileta ushoga ndo maana mapunga yamejaa maeneo ya mwambao....
 
Yesu alifufuka baada ya kukaa kaburini siku tatu, Lazaro alifufuliwa na Yesu baada ya kuzikwa. Hiyo haki pekee ya marehemu kuzikwa ipo huko kwingine, kwetu tumaini la ufufuko bado lipo hai kwani Yesu aliyeshinda nguvu za kaburi anaishi hata leo hii.
Basi msizike marehem subirini wafufuke
 
Kuna nini Kimejificha hasa juu ya huu Utaratibu wao ambao kwa wanaopenda Kufikiri (Akili Kubwa ) wanaweza kudhani Wapemba wana Roho Mbaya na Wakatili?
Umewahi kuishi karibu na jamii ya Kiislamu? Utagundia si Wapemba tu.
 
Na kweli hili lilikuwa relevant enzi hizo ambapo hakukuwa na mechanisms za kuhifadhi miili kwa muda mrefu.......unaweza kujikuta unazika mtu ambaye kazimia tu hajafa, haraka ni ya nini hasa?
Uwezekano huo upo, na hasa matukio ya mitaani, kusiko na wataalamu au, na wazoefu.
 
Ndugu zenu katika imani ya mnyaazi ndo walileta ushoga ndo maana mapunga yamejaa maeneo ya mwambao....
Hao chini wakiwa kanisani wameruhusiwa na papa
24771_dc74wc_329795.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Basi msizike marehem subirini wafufuke
Ndugu zake Lazaro baada ya kumsubiri Yesu kwa siku kadhaa bila kutokea waliamua kwenda kuuzika mwili wake kwani ulishaanza kuharibika. Yesu alipofika alisikitika sana kwani alimpenda Lazaro ambaye alikuwa rafiki yake. Akaita kwa sauti kuu, LAZARO TOKA KABURINI.....huyo Lazaro akatoka kaburini akiwa kavikwa sanda, akawaamuru wamfungue sanda na wampe chakula ale. Wale watu wakashangaa kwamba huyu mtu ana nguvu dhidi ya kifo, hadi mauti inamtii. Hilo ndilo neno la bwana, tumshuru Mungu.​
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndugu zako wangapi wamefufuka chizi wewe

Usizike ndugu zako subiri aje afufuliwee
 
Yesu ambaye ni rafiki yetu alifufuka na yeye anazo nguvu za kutufufua wateule wake siku ya mwisho, yule mtume wa mnyaazi hana huo uwezo kwani yeye mwenyewe hakuweza kuutwaa tena uhai wake kama alivyofanya Yesu.
 
Kama Yesu hajatokea kama ilivyokuwa kwa Lazaro, tutaenda kumzika tukibaki na imani yetu ya kwamba atamfufua wakati utakapowadia, hii ndiyo imani tunayoiishi.
 
Yesu ambaye ni rafiki yetu alifufuka na yeye anazo nguvu za kutufufua wateule wake siku ya mwisho, yule mtume wa mnyaazi hana huo uwezo kwani yeye mwenyewe hakuweza kuutwaa tena uhai wake kama alivyofanya Yesu.
Hujajibu swali siku ya mwisho kila mtu atafufuka acha kua kilaza

Nakuuliza tena kwa kuchelewa kwenu kuzika ndugu yenu gani kafufuka?

Back
Top Bottom