Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

😂😂😂😂😂😂dah hawa jamaa michosho kweli
Yesu alifufuka na anaishi hii leo, kwa hiyo tunalo tumaini la ufufuo kupitia yeye......ni tofauti na mtume wa mnyaazi ambaye bado kasalia kaburini na yeye akimsubiri Yesu amfufue siku ya kiama.
 
Yesu alifufuka na anaishi hii leo, kwa hiyo tunalo tumaini la ufufuo kupitia yeye......ni tofauti na mtume wa mnyaazi ambaye bado kasalia kaburini na yeye akimsubiri Yesu amfufue siku ya kiama.
yesu hakufa wee mjinga.bali yesu alinyakuliwa kwahio lazima arudi duniani kukionja kifo.
 
Acha uzumbukuku hakuna atakae fufuka kwa kigezo cha kucheleweshwa kuzikwa kumbe mnachelewesha kwa kutegemea maiti ifufukie mochwari?
Uzumbukuku ni kumfuata mtume ambaye haishi na yeye anasota kuzimu kumsubiri Yesu amfufue siku ya kiama.
 
Kwa ndoa na kifo uislamu wapo sahihi , mtu akifariki no wastage of time anatakiwa apumzishwe mapema Sana , asubiri ujio wa Yesu mara ya pili ... Kwa wakristo ni tabu tupu , maiti inazungushwa weee anasubiriwa sjui nan nan yupo nje , mara ikaombewe yaan vurugu tupu

Kwamba maiti anapumzika.
 
Yule ambaye atamfufua mtume wa mnyaazi na wafuasi wake siku ya kiama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yesu huyu atakae hojiwa acha kumtafutia mwezio matatizo bhana

5 :116. Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sisi hatuamini imani mfu, tunaamini imani inayoishi........sasa huwezi kunishawishi niwe mfuasi wa mtu aliyekufa anayesubiri na yeye kufufuliwa.
Hujajibu swali nani kakwambia uamini au usiamini hapa

Nakuuliza kwa Iman yako ndugu yako gani alifufuka kwa sababu umechelewa kumzika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yesu huyu atakae hojiwa acha kumtafutia mwezio matatizo bhana

5 :116. Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo Isa bin Maryamu si huyu Yesu anayeabudiwa na wakristo ambaye alikuwepo tokea misingi ya ulimwengu na vitu vyote vimeumbwa kwa njia yake, kwa maana yeye ni Mungu, leta jingine....
 
Unapenda wacheleweshe mpate vitoria.
Kuchelewesha kuzika ni Gharama zisizo na msingi
 
Back
Top Bottom