Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

Huyo Isa bin Maryamu si huyu Yesu anayeabudiwa na wakristo ambaye alikuwepo tokea misingi ya ulimwengu na vitu vyote vimeumbwa kwa njia yake, kwa maana yeye ni Mungu, leta jingine....
Hahahaha alie kuwepo kabla ni huyu Elah
Yesu huyu ni mtoto wa Mariam acha kupotosha watu na hata huyo mama yake anamjua kama Isu ambayo ipo karibu na Isa sijui unataka kusema nini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndo hao ndugu zangu ambao wanasubiri ufufuo wa Yesu kwa ajili ya maisha ya utukufu, inatakiwa uanze kumkiri na kumwamini ili uweze kuhesabiwa haki pamoja na wateule wake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama mnajua watafufulia siku ya ufufuo kinacho wafanya msiwazike mapema ni nini?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama mnajua watafufulia siku ya ufufuo kinacho wafanya msiwazike mapema ni nini?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata ndugu zake Lazaro ufufuo walioujua ni ule wa siku ya mwisho, lakini Yesu akawaambia "Mimi ndimi huo ufufuo na uzima" alivyomwita Lazaro kutoka kaburini na akatoka mzima ni jambo lililowashangaza sana.......sasa kuwa na huo uwezo wa kumrudishia mtu aliyekufa uhai ni kwa sababu yeye ni Mungu, nafikiri hapa umeanza kunielewa.​
 
Una maelezo mengi kama mwalimu wa insha
Nakuuliza kwa mara ya mwisho ndugu yako yupi alifufuka kwa sababu mmechelewa kuzika?

Sikuelewi hapo Elia nae alifufua

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yesu alizukwa siku hiyo aliyokufa.

Tatizo ni kwamba tuna swaga za ajabu ajabu sana.
Unajua kwa nini alizikwa siku ile ikiwa husomi biblia, unataka kumjua Yesu kwa kusoma kurani......unapotea ndugu.
 
Una maelezo mengi kama mwalimu wa insha
Nakuuliza kwa mara ya mwisho ndugu yako yupi alifufuka kwa sababu mmechelewa kuzika?

Sikuelewi hapo Elia nae alifufua

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimeshakwambia Yesu tumaini la ufufuo wetu anaishi, na yeye atatufufua wafuasi wake kwa ajili ya maisha ya utukufu. Yeye ni Mungu ndo maana anao uwezo wa kuutoa uhai wake mwenyewe na kuutwaa tena, na anampa uhai na uzima bure kila mmoja anayemwamini na kumfuata, umeelewa?
 
Bado nipe jina la ndugu yako alie fufuka kwa sababu mmechelewa kumzika?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe kwenu kaburini ni mahala patakatifu! sikujua hili, ndo maana hamuwezi kuamini katika kufufuka kwani hata nabii wenu hakufufuka kama Yesu alivyofufuka
Acha ujinga, manabii wangapi walifufukiwa zaidi ya yesu, Yesu alikufa kifo cha aibu, watu wamemtembeza uchi, huku akipigwa mikanda na mateke.

Kutokana na kifo kile cha aibu, Ili kumuheshimisha kwa mahasimu wake ndipo akafufuliwa, sasa nyie wagalatia mnadhani aliyopitia Isa bin Mariam na nyie mtapitia.
 
Huo ndo msingi wa imani ya kikristo, kwani Yesu alishinda nguvu za kifo......kwa hiyo hata wafuasi wake tunaishi juu ya nguvu za kifo. Mtume wa mnyaazi hakufufuka na wala haijulikani aliko halafu bado ana mamilioni ya wafuasi hadi leo, ni jambo la kushangaza.
Na nyie mbona hamshindi, mkiva hamrudi tena, kama sababu za kutozikana mapema ni hizo sababu za kijinga sana.
 
Kuna nini Kimejificha hasa juu ya huu Utaratibu wao ambao kwa wanaopenda Kufikiri (Akili Kubwa ) wanaweza kudhani Wapemba wana Roho Mbaya na Wakatili?
Hiyo sio ya wapemba, ni uislam unaelekeza mtu akifariki awahishwe kustiriwa(kuzikwa), na sio kwel kama lazima iwe siku hyo hiyo hata kwa tochi, anaweza kulazwa mpaka siku ya pili kama mda hamna tena wa kufanya hayo

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Na nyie mbona hamshindi, mkiva hamrudi tena, kama sababu za kutozikana mapema ni hizo sababu za kijinga sana.
Aliyeshinda nguvu za mauti ni Yesu Kristo ambaye ni tumaini letu la maisha ya milele..
 
Acha ujinga, manabii wangapi walifufukiwa zaidi ya yesu, Yesu alikufa kifo cha aibu, watu wamemtembeza uchi, huku akipigwa mikanda na mateke.

Kutokana na kifo kile cha aibu, Ili kumuheshimisha kwa mahasimu wake ndipo akafufuliwa, sasa nyie wagalatia mnadhani aliyopitia Isa bin Mariam na nyie mtapitia.
Yesu alifufuka hakufufuliwa, anao uwezo wa kuutoa uhai wake na kuutwaa tena kwa sababu yeye ni Mungu, toa jingine..
 
Back
Top Bottom