professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Hahahaha alie kuwepo kabla ni huyu ElahHuyo Isa bin Maryamu si huyu Yesu anayeabudiwa na wakristo ambaye alikuwepo tokea misingi ya ulimwengu na vitu vyote vimeumbwa kwa njia yake, kwa maana yeye ni Mungu, leta jingine....
Yesu huyu ni mtoto wa Mariam acha kupotosha watu na hata huyo mama yake anamjua kama Isu ambayo ipo karibu na Isa sijui unataka kusema nini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app