Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

Wale walioleta dini ya mnyaazi waliruhusu hayo mambo ndo maana yametamalaki sana huu ukanda wa mwambao.
Usiruke ruke kama chura hapa hawa wako kanisani wanafanya ibada ya ndoa ya jinsia moja
42619.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama Yesu hajatokea kama ilivyokuwa kwa Lazaro, tutaenda kumzika tukibaki na imani yetu ya kwamba atamfufua wakati utakapowadia, hii ndiyo imani tunayoiishi.
Kwahiyo kusuburi kote wiki nzima kumbe kazi yote ni bure tu mwisho mnamzika pia? Hahaha
 
Hata Lazaro hatimaye alizikwa, lakini Yesu alipofika alimfufua kutoka huko kaburini.
 
Na kwa nini kuchelewa kuzika isiwe busara, vipi kama huyo mtu kazimia..........huoni kuchelewa ndo busara zaidi?
kwahio mtu umemeweka kwenye sanduku umefunga kabisa unadhani hatakama emezimia atazinduka?umeenda shule kweli lafkiyangu?😅😅😅
 
Siyo swala la shule ni swala la imani, ndo maana huwezi kuamini kwamba Yesu alifufuka baada ya siku tatu, na huwezi kuamini kwamba Yesu alimfufua Lazaro ambaye mwili wake ulishaharibika na kuzikwa.
 
Hata Lazaro hatimaye alizikwa, lakini Yesu alipofika alimfufua kutoka huko kaburini.
Acha uzumbukuku hakuna atakae fufuka kwa kigezo cha kucheleweshwa kuzikwa kumbe mnachelewesha kwa kutegemea maiti ifufukie mochwari?
 
Siyo swala la shule ni swala la imani, ndo maana huwezi kuamini kwamba Yesu alifufuka baada ya siku tatu, na huwezi kuamini kwamba Yesu alimfufua Lazaro ambaye mwili wake ulishaharibika na kuzikwa.
kwataarifa tuu nikuwa yesu hakufa.lazima arudi tena kukionja kifo.
 
Back
Top Bottom