Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

Wakikaa na marehem siku 3 atafufuka?

Haki pekee ya marehem ni kuzikwa mapema.
 
Marehemu hana chake baada ya kufa.
Na ni ustaarabu mzur sio mnalialia tuuu kamasi ziwatoka siku Saba ya Nini hayo.

Zika Kisha Fantashruu fillArdhyy
sifa ya kafiri ndio hiyo ndio maana kuna wachungaji kila siku wanajitoa roho kwa njaa heti wanafunga siku 40 kama yesu mwisho wanakufa na njaa
 
Sijasema ni maagizo ya Yesu, nilisema waliamini katika uwezo wa huyo Yesu kuzuia Lazaro asife kwa hiyo waliendelea kumsubiri kwa muda zaidi hata baada ya Lazaro kufa..
Inahusiana nini na mada husika!?
 
...Kama Marehemu ana Mtoto wake Marekani na amesema anakuja kumzika Baba yake/ Mama yake???
wewe msumbili mwanea aje amzike mama yake usiwalazime wenzako nao wafate unaviotaka ww kwani mtoto akija anarudishia roho mamake?hiyo ndio tabia zenu za kipagani mtu kafa kila mtu anamfahamu kabla ya kuzika heti mnamweka wazi watu wamuone kwani walikua awamjui kumuwaga tangu lini mtu mzima akaaga mzogo huo ni upakagani
 
Na hii wengi sana wanazikwa wakiwa hai, yafaa wapewe simu wakizinduka kaburini.
Mtu anaweza zimia hata siku tatu. SAsa wao akikata moto asubui saa sita anazikwa.
Wanatofautisha vipi aliyezimia na aliyekufa kabisa?
tatizo lako unatumia mkali kufikili
 
Kila kitu huwa ni makubaliano, wengine maiti inakaa mwezi au miezi na wala hauwezisikia jamii husika ikilalamika, kwa wazungu kwenda kuzika ni mpaka upewe mwaliko na mfiwa au mtu akifa serikali ndiyo inayohusika wewe utapewa taarifa tu na kuonyeshwa kaburi baada ya hapo ndugu na jamaa mnakutana hotelini na kimaliza msiba sio kuweka mahema nyumbani kwake, na hao wamekubaliana hivyo.
tatizo hasa wakiristo wanataka watu wote wafuate wanavio amini wao jambo ambalo aliwezekani hata kwenye biblia hakuna andiko lanalo sema mtu akifa awekwe mochwali kisha waandae maipika kisha wacheze mziki wanywe walewe kisha mzoga huo wausafirisha bali wanatumia talatibu za kipagani tu
 
Mtu akisha kufa amekufa tu,zingine hubaki kama taratibu za kimila ama kidini,wapemba ni watumwa wa waarbu hivyo watafata tamaduni za mabwana zao.
Na nyie wagalatia ni watumwa wa nani na mnafata mila za mabwana zenu wa wapi kuchelewa kuzika? Nyambafu
 
Huo uwezekano upo, Lazaro alifufuka akiwa tayari keshatoa harufu, Yesu Kristo alifufuka siku ya tatu........huko kwa mnyaazi ndo miujiza kama hii haiwezekani, maana hata nabii wa mnyaazi hakufufuka....​
Acha ufala wewe, huko kwenu manabii wapo wangapi? Na wamefufuka wangapi? Na huyo unayesema kafufuka baada ya kufufuka alienda kuishi wapi?
 
Nimekwambia walimsubiri Yesu kwa siku kadhaa hadi mwili wa Lazaro ukaharibika ndo wakaenda kumzika, kwa nini wewe unatulazimsha tukazike baada ya sekunde mbili ili hali bado tuna fursa ya kuwasubiri ndugu wengine na Yesu pia akiwemo kwenye hiyo list ya watu wanaosubiriwa kuja..........maana sisi tuna uhakika anaishi na anaweza kufanya jambo lolote hata leo hii.​
Umeisoma Uzi? Nani anaelazimisha? Nyie ndio mmeanzisha uzi halafu mnasema waislam wanalazimisha
 
Na kweli hili lilikuwa relevant enzi hizo ambapo hakukuwa na mechanisms za kuhifadhi miili kwa muda mrefu.......unaweza kujikuta unazika mtu ambaye kazimia tu hajafa, haraka ni ya nini hasa?
Abaki anafanya nini wakati ameshafariki? Ili watu waendelee kuombeleza na kukufuru kwa Mungu kumchukua mja wake?

Wacha waliokufa wazikwe na walio hai waendelee na maisha yao!!!!!
 
Acha ufala wewe, huko kwenu manabii wapo wangapi? Na wamefufuka wangapi? Na huyo unayesema kafufuka baada ya kufufuka alienda kuishi wapi?
Huko kwa mnyaazi hamuamini katika ufufuko maana hata mtume wa mnyaazi hakufufuka.
 
ndugu wakija wanamrudishia roho au?
Wanamsubiri Yesu ambaye anao uwezo wa kumrudishia roho kama alivyofanya kwa Lazaro, huko kwa mnyaazi hii imani hamna ndo maana hata mtume wa mnyaazi hakufufuka...
 
Nyie hata kule kwenu mkanda chuni, mtu akifa, mnasafilisha kumpeka mjini, kwenye hostali yenye jokofu la kuhifadhia maiti, au mnakaishi nae ndani hivyo huku mkifaidi harufu, au mnabanika kwenye moto, asiharibike.

Ila Wakristo wengi tunao wazika dar mbona wengi wakifa leo, kesho mapema tu tushawazika, au hizi sera sio kwa wakristo wote.
Kila mmoja ana kiwango chake cha imani, haijalishi yeye ni mkristo.
 
kablini ni mahala patakatifu haiwezekani azikwe na kinyesi hiyo ni imani yetu kama nyiyi mnavio chambia makaratasi mkiamini kuchambia maji ni kushika mavi
Kumbe kwenu kaburini ni mahala patakatifu! sikujua hili, ndo maana hamuwezi kuamini katika kufufuka kwani hata nabii wenu hakufufuka kama Yesu alivyofufuka
 
Wanamuwaisha kwa mnyaazi akalewe kwenye mito ya wine na kubandua mabikra 72 , hiyo kwa wanaume. Kwa wanawake sijui watapewa bikra mpya? Huko ni mwendo wa wine na kubanduana
 
Wakikaa na marehem siku 3 atafufuka?

Haki pekee ya marehem ni kuzikwa mapema.
Yesu alifufuka baada ya kukaa kaburini siku tatu, Lazaro alifufuliwa na Yesu baada ya kuzikwa. Hiyo haki pekee ya marehemu kuzikwa ipo huko kwingine, kwetu tumaini la ufufuko bado lipo hai kwani Yesu aliyeshinda nguvu za kaburi anaishi hata leo hii.
 
Ni upumbavu kuwa na imani ya kijinga mtu umchome mifolini, Umzibe punzi kwa mipamba, umjime punzi kwa kumbuingiza ndani ya jenexa la mbao liliosilibiwa na manailoni, ya kuziana mivujo, umuweke kwenye ubaridi mkali hata kama alikua hajafa, asife.

Tangia umepata akili hujashuhudia tukio la mtu kufufuka, imebaki imani tu, kama unaona imani ya mtu kuzikwa mapema ni ya kijinga, basi itakua no 2 ya kutonzika mapema mkitegemea huenda atafufuka, itakua no 1, kwa ujinga.
Huo ndo msingi wa imani ya kikristo, kwani Yesu alishinda nguvu za kifo......kwa hiyo hata wafuasi wake tunaishi juu ya nguvu za kifo. Mtume wa mnyaazi hakufufuka na wala haijulikani aliko halafu bado ana mamilioni ya wafuasi hadi leo, ni jambo la kushangaza.
 
Back
Top Bottom