Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

Juzi kati kuna mtu kanipigia simu saa 11 kua niko msibani kuna mtu kafa tunazika keasho, ahsubuhi nampigia anasema bhana yule mtu kafufuka(by saa 5 Usiku) tumempeleka hospitali saiv....[emoji1787][emoji1787]

Sikuamini ila haya mambo yapo sna

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Yaan ufe afu ufufuke?? We jamaa hamnazo
 
Wanafuata tamaduni za kiarabu na dini ya mnyaaz!

Kule uarabuni miaka hiyo na joto lake wasingeweza kumuweka marehemu hata siku moja, ilikuwa lazima wafukie tu. Ndugu zetu nao kwa kufuata tamaduni za kiarabu na hatimae dini ya mnyaaz wakaona mpendwa akikata moto tu hata hajapoa wampige chepe
..
 
Marehemu hana chake baada ya kufa.
Na ni ustaarabu mzur sio mnalialia tuuu kamasi ziwatoka siku Saba ya Nini hayo.

Zika Kisha Fantashruu fillArdhyy
 
Na kweli hili lilikuwa relevant enzi hizo ambapo hakukuwa na mechanisms za kuhifadhi miili kwa muda mrefu.......unaweza kujikuta unazika mtu ambaye kazimia tu hajafa, haraka ni ya nini hasa?
Kwahiyo unataka tukae wiki nzima tukisubiri kuona kama atafufuka eti,?
 
Huo uwezekano upo, Lazaro alifufuka akiwa tayari keshatoa harufu, Yesu Kristo alifufuka siku ya tatu........huko kwa mnyaazi ndo miujiza kama hii haiwezekani, maana hata nabii wa mnyaazi hakufufuka....​
Kumbe ni shabiki fulani tu wa mpira!
...
Nina uhakika hata huko uliko hujasimama kiimani, ..sio kwa ngonjera hizo
 
Na hii wengi sana wanazikwa wakiwa hai, yafaa wapewe simu wakizinduka kaburini.
Mtu anaweza zimia hata siku tatu. SAsa wao akikata moto asubui saa sita anazikwa.
Wanatofautisha vipi aliyezimia na aliyekufa kabisa?
 
Kuna nini Kimejificha hasa juu ya huu Utaratibu wao ambao kwa wanaopenda Kufikiri (Akili Kubwa ) wanaweza kudhani Wapemba wana Roho Mbaya na Wakatili?
Sio wapemba,,bali Dini ya kiislam imeamrisha hivyo.

Mambo 3 yafanywe haraka yanapotokea.
-- mtu akifa azikwe haraka.
--mtu akitaka kuslim basi mfanye haraka.
-- swala..( muda ukifika basi hakuna subiri,, watu waswali)

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Ni mapokeo tu toka enzi hizo hata majokofu hayakuwepo na kwa joto la arabuni isingewezekana kulaza maiti,uislam kila lililo la mwarabu ni la mnyazi mungu,funny truth!
Hata ma vilemba na mauninja ni kwa sababu ya VUMBI la kule uarabuni ila wao wameyabeba yote yakaitwa ya Munyazi Mungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo mnapo waweka kwenye majokofu ni kwa kuwa hamuna uhakika/ hamuamini kuwa kweli wamekufa.

Hivyo huwa mnasubiri huwenda wakazinduka?
Kila kitu huwa ni makubaliano, wengine maiti inakaa mwezi au miezi na wala hauwezisikia jamii husika ikilalamika, kwa wazungu kwenda kuzika ni mpaka upewe mwaliko na mfiwa au mtu akifa serikali ndiyo inayohusika wewe utapewa taarifa tu na kuonyeshwa kaburi baada ya hapo ndugu na jamaa mnakutana hotelini na kimaliza msiba sio kuweka mahema nyumbani kwake, na hao wamekubaliana hivyo.
 
Back
Top Bottom