Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,483
Juzi kati kuna mtu kanipigia simu saa 11 kua niko msibani kuna mtu kafa tunazika keasho, ahsubuhi nampigia anasema bhana yule mtu kafufuka(by saa 5 Usiku) tumempeleka hospitali saiv....[emoji1787][emoji1787]Na kweli hili lilikuwa relevant enzi hizo ambapo hakukuwa na mechanisms za kuhifadhi miili kwa muda mrefu.......unaweza kujikuta unazika mtu ambaye kazimia tu hajafa, haraka ni ya nini hasa?
Sikuamini ila haya mambo yapo sna
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app