Kwanini wapiga kura wa Sugu hawajaenda kumuona ila wanaomuona ni majasusi wanaowakilisha nchi zao Tanzania?

Kwanini wapiga kura wa Sugu hawajaenda kumuona ila wanaomuona ni majasusi wanaowakilisha nchi zao Tanzania?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
 
Ukitaka kumjua mwenye mbwa mkung"ute kisawasawa mbwa wake.
Kabisa, wenye mbwa wameenda kumuona akapona ndani ya sekunde, akaanza kutikisa na mkia akiwalamba miguu
 
Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
ni muhimu zaidi kuzingatia credibility ya chanzo cha habari cha hasa kilichotoa taarifa ya umahututi na umadhubuti wa sugu 🐒

mara nyingi,
hulenga kuleta taharuki, kupata tension inayolenga kutafuta huruma wa wananchi, kitu ambacho hutofatiana kabisa na uhalisia, kwamfano hata hili la huyu sugu motro chini....🐒

hivi kweli yule hata ukimtazama tu ni mtu ametoka ICU kweli, dah 🐒
 
Alaa ni mchezo wa "kadenge"?!![emoji1787][emoji1787]

CCM ina mbinu bilioni 1...wanazotumia ni 100 tu....
 
Ulitaka wakati wanaenda kwa Sugu wapite hapo Lumumba?!
 
....umenikumbusha ile picha ya mke wa mh.Sugu ALIVYOFUMBATA MIKONO kwa kubembeleza huruma mbele ya mh.balozi wa marafiki zetu wa kimaendeleo [emoji1787][emoji1787]
 
Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
Omba ajira ya ulinzi getini kwake, utawajua na kuwahesabu wanaoingia sawa ndugu yangu?
 
Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
Yani wewe unataka kina mama mwakipesile na mwakilasa wanavyo enda kumuona sugu wawaite ITV na wasafi media ili wewe wa mchambawima huko uwaone sio!
 
Back
Top Bottom