Umejuaje hawajakwenda?Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje hawajakwenda?Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
Ndio mkuu, akina Mwachadema, Mwakongamano, na Mwamaamdamano, na Mwabavicha, na MwaAwadhiYani wewe unataka kina mama mwakipesile na mwakilasa wanavyo enda kumuona sugu wawaite ITV na wasafi media ili wewe wa mchambawima huko uwaone sio!
Sugu yupo Dar es Salaam, wapigakura wako Mbeya.Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
Na ukisikia njaa(kuikamilisha bajeti ya nchi) unaenda kwa mwenye mbwa akupe makombo ili ule na mbwa.Ukitaka kumjua mwenye mbwa mkung"ute kisawasawa mbwa wake.