Kwanini wapiga kura wa Sugu hawajaenda kumuona ila wanaomuona ni majasusi wanaowakilisha nchi zao Tanzania?

Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
Umejuaje hawajakwenda?
 
Yani wewe unataka kina mama mwakipesile na mwakilasa wanavyo enda kumuona sugu wawaite ITV na wasafi media ili wewe wa mchambawima huko uwaone sio!
Ndio mkuu, akina Mwachadema, Mwakongamano, na Mwamaamdamano, na Mwabavicha, na MwaAwadhi
 
Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
Sugu yupo Dar es Salaam, wapigakura wako Mbeya.
 
Back
Top Bottom