Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
wahi Johnson Johnson single dose.Mkuu hapa sio agha khan nami niwahi tako oohhh sorry niwahi chanjo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wahi Johnson Johnson single dose.Mkuu hapa sio agha khan nami niwahi tako oohhh sorry niwahi chanjo?
Naomba sababu, kwà nini Wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao?
Miezi kadhaa iliyopita tuliona Wanaharakati na Wapinzani wakisisitiza sana watu wavae Barakoa.
Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.
Wanapinga mabeberuNaomba sababu, kwà nini Wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao?
Miezi kadhaa iliyopita tuliona Wanaharakati na Wapinzani wakisisitiza sana watu wavae Barakoa.
Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.
Kwamba kauliza kwa nia njema?
View attachment 1819022
Nia njema iko wapi hapo?
Hakuiona nia njema niliyomwandikia nayo?
No wonder hajui hata kama anahitaji katiba mpya au la!
Kabisa mkuuKwa magufuli tulipigwa