johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nyie ndio watu wa hovyo, mpaka leo mnajua Watanzania wote ni mazombie sio!Haya mapinzani ya hoovyo kabisa,
Mwl. Nyerere alituachia legacy ya uzalendo kwanza.
Haya mapinzani yametanguliza pesa kuliko utu wetu.
Watakuwaje wajinga wakati elimu ni bure.Nyie ndio watu wa hovyo, mpaka leo mnajua Watanzania wote ni mazombie sio!
Mtanzania wa leo sio mjinga
Hakuna nchi Africa mashariki inategemea Wazungu kama Tanzania, kawadanganye mbulura wenzio.Watakuwaje wajinga wakati elimu ni bure.
Fanya kazi achana na mambo yakwenda kwa wazungu kujidhalilisha
Labda kama Tanzania tupo ndani ya chungu!Wanataka attention ya mataifa ya nje...na wengi nje hawajui ukweli wa kinachoendelea Tanzania.
Nimekuelewa bwashee!Anachofanya lisu ndio kinamuondolea credit kwa mashabiki wake, anawatumia watu ambao wapo against magufuli regime akiamini watasaidia kuleta impact ndani hiyo ni very wrong strategy, haitomsaidia kuwa urais anapoteza muda.
NB:lisu ataondoka, magu ataondoka, uchaguzi zitaisha tanzania itaendelea kuwepo, hila kumbukumbu zitabaki.TUIPENDE NCHI YETU.