Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mnapata taabu sana kukesha mitandaoni na kumnadi mtu wenu kwa hoja zenye kuboa sana? Maana tunaosoma katikati ya mistari tunaona kabisa namna mlivyokubuhu kwenye sekta ya uongo.Na Mwl Udadis, DSM-CBD
Kwa sisi waumini wa makanisa ya Orthodox tunaamini sana katika kweli isiyochanganywa na busara za waja japo tunaheshimu sana imani za watu wengine..
Umerudi msmu wa siasa za futari!
Samia yupi huyu anayeogopa uchavuzi ? Siku hizi anahonga Kila mtu anayehisi atamsaidia kupora uchavuziNa Mwl Udadis, DSM-CBD
Kwa sisi waumini wa makanisa ya Orthodox tunaamini sana katika kweli isiyochanganywa na busara za waja japo tunaheshimu sana imani za watu wengine...
Nafuturisha kwangu na msikiti wa jirani yangu kwa mwezi mzima wa Ramadhan kila siku ya Jumatatu na Alhamisi kila mwaka tokea mwaka 2000. Mbona kufuturisha ni kwepesi sana, hata wewe unaweza.Umerudi msmu wa siasa za futari!
Kweli yeyote anaweza kufuturisha, inategemea na 'uzito' wa futari!.Nafuturisha kwangu na msikiti wa jirani yangu kwa mwezi mzima wa Ramadhan kila siku ya Jumatatu na Alhamisi kila mwaka tokea mwaka 2000. Mbona kufuturisha ni kwepesi sana, hata wewe unaweza.
Futari ni kifungua kinywa tu.Kweli yeyote anaweza kufuturisha, inategemea na 'uzito' wa futari!.
tuambie uliona nini ambacho ni cha ajabu!Ndani ya miaka miwili hii nimetembelea karibu mikoa 15 ya Tanzania ki ukweli nimeiona mabadiliko makubwa mno mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa sasa Nchi inapiga maendeleo kwa kasi sana