Kwanini warembo na mabarobaro wengi ni vilaza?

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Habarini waungwana....

Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani?

Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata mashuleni au vyuoni tunaona warembo wengi kichwani hakuna kitu.... Na wanaofanya vizuri huwa ni watu wa kawaida tu na hawana makuu.

Je kuna uhusiano wowote kati ya kuendekeza muonekano na kukosa umakini katika mambo yanayo husisha matumizi ya akili?
 
Screenshot_20240614_150022_Facebook.jpg
 
Ni kweli matahira na mazuzu akilini mwao ni ushenzi,kujiona na kuhongwa . Basi wakiwa na shida wanadhani nikutoa penzi. Tu ndio dili sio kazi,sio chochote wao huwa hawajitumi ni kutumiwa tu .
 
Habarini waungwana....

Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani?

Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata mashuleni au vyuoni tunaona warembo wengi kichwani hakuna kitu.... Na wanaofanya vizuri huwa ni watu wa kawaida tu na hawana makuu.

Je kuna uhusiano wowote kati ya kuendekeza muonekano na kukosa umakini katika mambo yanayo husisha matumizi ya akili?
Umewahi kutembea unaiangalia pua yako huku unatembea muda wote?Nini kilitokea?Jaribu.Kitakachotokea ndiyo huwatokea hao masista duu na mabradha meni.Wanashindwa kufocus kwenye malengo na kukazania ujingaujinga. Lazima waonekane viroja tu.
 
Mawazo yao yote yapo katika fashion na mitindo, kweli lazima akili zilale
 
Mind set, tu mkuu , labda useme wadada wanaojiona ni warembo , wapo hivyo kwa sababu kipaumbele chao ni urembo na uzuri.
Hicho ndicho kipaumbele chao wakati wote, ndyomaana hata kabla hawajaenda darasani lazima wahakikishe wamekaa kwa kioo na kujipodoa kwanza
 
Back
Top Bottom