Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Habarini waungwana....
Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani?
Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata mashuleni au vyuoni tunaona warembo wengi kichwani hakuna kitu.... Na wanaofanya vizuri huwa ni watu wa kawaida tu na hawana makuu.
Je kuna uhusiano wowote kati ya kuendekeza muonekano na kukosa umakini katika mambo yanayo husisha matumizi ya akili?