Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Habarini waungwana....
Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani?
Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata mashuleni au vyuoni tunaona warembo wengi kichwani hakuna kitu.... Na wanaofanya vizuri huwa ni watu wa kawaida tu na hawana makuu.
Je kuna uhusiano wowote kati ya kuendekeza muonekano na kukosa umakini katika mambo yanayo husisha matumizi ya akili?
Mkuu hapa nimetoka mtupu, hembu fafanua kidogo uhusiano uliopo kati ya hii picha na mada husika
Kweli wapo, lakini katika masista du 10, nane ni vilazaSio kweli mkuu kuna madem wanasura ngumu na ukilaza juu..........
Ni kweli matahira na mazuzu akilini mwao ni ushenzi,kujiona na kuhongwa . Basi wakiwa na shida wanadhani nikutoa penzi. Tu ndio dili sio kazi,sio chochote wao huwa hawajitumi ni kutumiwa tu .Habarini waungwana....
Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani?
Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata mashuleni au vyuoni tunaona warembo wengi kichwani hakuna kitu.... Na wanaofanya vizuri huwa ni watu wa kawaida tu na hawana makuu.
Je kuna uhusiano wowote kati ya kuendekeza muonekano na kukosa umakini katika mambo yanayo husisha matumizi ya akili?
Sure, lakini katika hili tunaweza kufahamu na kujifunza kitu
Umewahi kutembea unaiangalia pua yako huku unatembea muda wote?Nini kilitokea?Jaribu.Kitakachotokea ndiyo huwatokea hao masista duu na mabradha meni.Wanashindwa kufocus kwenye malengo na kukazania ujingaujinga. Lazima waonekane viroja tu.Habarini waungwana....
Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani?
Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata mashuleni au vyuoni tunaona warembo wengi kichwani hakuna kitu.... Na wanaofanya vizuri huwa ni watu wa kawaida tu na hawana makuu.
Je kuna uhusiano wowote kati ya kuendekeza muonekano na kukosa umakini katika mambo yanayo husisha matumizi ya akili?
Kweli kabisa, wengi wanaamini urembo wao ndyo mtaji wao mkubwaNi kweli matahira na mazuzu akili mwao ni ushenzi,kujiona na kuhongwa . Basi wakiwa na shida wanadhani nikutoa sex . Tu ndio dili sio kazi,sio chochote wao huwa hawajitumi ni kutumiwa tu .
Ndio hivyoo na hawajui watu wenye akili zao hawawezi kuwaoaKweli kabisa, wengi wanaamini urembo wao ndyo mtaji wao mkubwa
Mawazo yao yote yapo katika fashion na mitindo, kweli lazima akili zilaleUmewahi kutembea unaiangalia pua yako huku unatembea muda wote?Nini kilitokea?Jaribu.Kitakachotokea ndiyo huwatokea hao masista duu na mabradha meni.Wanashindwa kufocus kwenye malengo na kukazania ujingaujinga. Lazima waonekane viroja tu.
Na zinazo umia ni sehemu za siriInawezekana labda maarifa yao na akili zao zipo sehemu za siri
Nione wivu kwa kipi hasa, au vile vipensi wanavyo vaa na kuacha mapaja yote nje?Inaonekana unafanana na nyani mzee kwahiyo huo ni wivu tu mzee
Sure, lakini katika hili tunaweza kufahamu na kujifunza kitu
Akili zao sasa zinafanana na yale mabwanga wanayo vaaAkili yakufanya mmbo mengine watatoa wap mkuu na akili inawza kurembe mwilii..
Hicho ndicho kipaumbele chao wakati wote, ndyomaana hata kabla hawajaenda darasani lazima wahakikishe wamekaa kwa kioo na kujipodoa kwanzaMind set, tu mkuu , labda useme wadada wanaojiona ni warembo , wapo hivyo kwa sababu kipaumbele chao ni urembo na uzuri.