edon66
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 2,907
- 9,135
Akili zao sasa zinafanana na yale mabwanga wanayo vaa
[/QUOTE...alafu dada zetu ndio wanaume wawapendao š¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili zao sasa zinafanana na yale mabwanga wanayo vaa
[/QUOTE...alafu dada zetu ndio wanaume wawapendao š¤
Hii dunia inataka uwe na chakujitetea , hao unaowaona sio warembo wala wazuri wanajitetea kwenye elimu na kukuza maarifa japo kuna kundi kubwa mno ni warembo na wazuri lakini akili zipo mkuu.Hicho ndicho kipaumbele chao wakati wote, ndyomaana hata kabla hawajaenda darasani lazima wahakikishe wamekaa kwa kioo na kujipodoa kwanza
Sahihi kabisa Mkuu, pia watu ambao hawapendi kuonekana au kusifiwa huwa na uwezo mkubwa kiakili, wale ambao wanapenda masifa na kuonekana, hawawezi kuwa na uwezo mkubwa kwasababu akili zao zinawaza kuonekana kwa macho na masikio ya watu wengine.Kama unatazama sana filamu za wazungu utagundua kwenye mazingira ya shule kuna wale wenye akili sana ila hawajui kujichanganya na watu(nerds)....
Halafu kuna wale wako vizuri kwenye michezo, wana piga pisi kali, ni mabishoo ila hawana akili darasani(jocks)
Sasa ukiangalia huko mitandaoni wazungu wanasema hayo matabaka yapo, lakini sio kwa wingi kama kwenye muvi. Halafu kunakuwaga na overlap unakuta kuna nerd anapendwa na madem au jock anapasua hesabu
Sasa kuna tafiti imeonesha watoto/vijana wanaopenda kufikiri(wanaita 'need for cognition') hawapendi kuchosha mwili; kufanya mazoezi, kucheza michezo nk...
Kuna ukweli flani, ila ulichosema sio sheria
Mkuu kuna utanashati na ubishoo, umaridadi na urembo... Wengi wanaoweka manjonjo mengi ndyo asilimia kubwa ni vilaza.Hii dunia inataka uwe na chakujitetea , hao unaowaona sio warembo wala wazuri wanajitetea kwenye elimu na kukuza maarifa japo kuna kundi kubwa mno ni warembo na wazuri lakini akili zipo mkuu.
Kila mtu ana akili tunatofautiana kwenye matumizi ya hizo akili tu, kwa wao akili huwa zinatumika vipodozi zaidiHabarini waungwana....
Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani?
Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata mashuleni au vyuoni tunaona warembo wengi kichwani hakuna kitu.... Na wanaofanya vizuri huwa ni watu wa kawaida tu na hawana makuu.
Je kuna uhusiano wowote kati ya kuendekeza muonekano na kukosa umakini katika mambo yanayo husisha matumizi ya akili?
Kwahiyo asilimia 98% za matumizi ya akili zao ni kuwaza vipodozi tu na mawigi šKila mtu ana akili tunatofautiana kwenye matumizi ya hizo akili tu, kwa wao akili huwa zinatumika vipodozi zaidi
Huko kwenu hali ikoje?Labda ni huko kwenu tu Daisalamu šš
Yes, fashion mpya ya nywele, sijui nguo, mara pafyumu nzuri huyo madesa atayaelewa saa ngapi, ikifika mitihani ataenda kwa lecturer anapanua miguu wanamalizana mara pah! amefauluKwahiyo asilimia 98% za matumizi ya akili zao ni kuwaza vipodozi tu na mawigi š
mjanja sana huyo mdada
na kwa wasichana unakuta kuna wale nerd girls wanapenda kusoma, na wale prom queens wanapenda umaarufu, wanajiegesha kwa jocks, wanakuwa cheerleaders viwanjani, pia wanakuwa wababe wababe. Ila darasani ni 0....Sahihi kabisa Mkuu, pia watu ambao hawapendi kuonekana au kusifiwa huwa na uwezo mkubwa kiakili, wale ambao wanapenda masifa na kuonekana, hawawezi kuwa na uwezo mkubwa kwasababu akili zao zinawaza kuonekana kwa macho na masikio ya watu wengine.
Kiukweli wengi wanahitimu lakini vichwani mwao kuna utofauti mkubwa na kilie kilichopo katika vyeti vyaoYes, fashion mpya ya nywele, sijui nguo, mara pafyumu nzuri huyo madesa atayaelewa saa ngapi, ikifika mitihani ataenda kwa lecturer anapanua miguu wanamalizana mara pah! amefaulu
Pia kwa wanaume wapo wanao ona ni sifa kukaa backbencherna kwa wasichana unakuta kuna wale nerd girls wanapenda kusoma, na wale prom queens wanapenda umaarufu, wanajiegesha kwa jocks, wanakuwa cheerleaders viwanjani, pia wanakuwa wababe wababe. Ila darasani ni 0....
Ila nafikiri sura ya mtu au mwonekano wa mtu hauna adhari kwenye uwezo wa akili ya mtu .Mkuu kuna utanashati na ubishoo, umaridadi na urembo... Wengi wanaoweka manjonjo mengi ndyo asilimia kubwa ni vilaza.
Urembo na utanashati ni jambo jema, lakini kama ulivyo sema kwamba urembo unapaswa kuenda na brainmrembo is good thing Ila inahitaji urembo uende na brain hii itasaidia kujua watu gani sahihi na watu gani sio sahihi.
NB
Kilaza sio MTU aliyepata zero Ila kilaza ni MTU ambaye Hana "sense of who you are" sense of who you are -nikujitambua kujua udhaifu wako na uimara wako.
Athari huonekana pale ambapo ataonyesha matendo yake, hapo ndyo tutajua zimo au hazimoIla nafikiri sura ya mtu au mwonekano wa mtu hauna adhari kwenye uwezo wa akili ya mtu .
Urembo na utanashati ni jambo jema, lakini kama ulivyo sema kwamba urembo unapaswa kuenda na brain
Kilaza katika masomo pia ni mtu ambaye amekosa sense ya "who he/she is". Yaani kushindwa kutambua kwamba yeye ni mwanafunzi na jukumu lake ni kusoma kwa bidii