Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Jamani sijawahi kuona Mzungu au Msabato akianguka mapepo.
Kwanini wanaoanguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?
Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?