Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Alaf kuna kitu watu wengi tunakichanganya wasabato wao hawajafocus kwenye show za kuonyesha miujiza ila wamefocus kwenye kufundisha na kuubiri ukwel zaidi. Ndio maana sio rahis kuona wakionesha hizo show za watu kuanguka maana ata ikitokea mtu kaanguka mara nyingi wanamtoa pale kwenye watu wanaenda kumuombea pembeni (hapa mara nyingi unakuta ni sehemu ya privacy hii niilishuhidia kabsa na kama kuna msabato humu anaweza kusema )