Kwanini Wasabato na Wazungu hawaanguki mapepo?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Jamani sijawahi kuona Mzungu au Msabato akianguka mapepo.

Kwanini wanaoanguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?

Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
 
Sizan kma kuna ukweli kwenye hii inshu
 
Mapepo yana ubaguzi sana..hata matajiri hayawaangushi[emoji3064][emoji23][emoji23]
 
Kwani wakatoriki na waislam nao hukimbiza pepo? Kwani huko makanisani huwa unajua hawa wanasali wapi ? Wasababato nawao huingia humo humo kawe kwakina bulldozer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…