Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni.
Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi.
Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala msikiti ukionekana popote pale.
Hata ule wimbo wa Zuchu aliona bora akafanyie mzaha kanisani kuliko msikitini!
Hivi ni kwanini hawa wasanii waislam huwa hawapendi au hawafanyii dhihaka dini yao?
Nafikiri kwakua ni waislamu wangekua na mengi zaidi yakuigizia dini yao kuliko kuwadhihaki wakristo.
Ni watu wa hovyo sana na nitashangaa BASATA isipochukua hatua kali this time.