tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Naona umepata pa kuhemea mkuu. Ni kanisa gani linatuhusu kuingia kanisani na nguo nusu uchi? Unafikiri hivyo viboko vilisaidia hao mabinti?Na hapa ndo mnapokosea,, hata ukiingia kanisani na nguo nusu uchi kisingizio ni hiki,, kwa kifupi dini yenu nyie wenyewe ndo mnaanza kuichezea mpaka kupelekea na wengine. Yani unakuta mpaka waigizaji mashoga wanaruhusiwa kuingia kanisani kufanya uigizaji wao, kitu ambacho kwa waislam hakiwezi kufanyika. Kipindi cha nyuma nakumbuka pale msikiti wa mtambambani kinondoni akipita mwanamke mbele ya msikiti na vinguo vyake vya ajabu, viboko lazima vimuhusu. Yani disprin kwenda mbele.