Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

Walevi wao wanasemaje...!? Siwasikii kulalamika.
 
Kukasirika unaruhusiwa
Hakuna aliye kasirika bali unatakiwa kujibu swari.
Kama mungu wenu ahitaji usaidizi hilo kanisa unalo salia limejegwa na mungu?

Au hiyo biblia unayo tumia kumuabudu yy ndo anekununulia?

Bila roma kusimama kidete kuutetea huo ukristo kwa panga siunge sambatishwa na Ottoman?
Bila wakristo kulivamia bara la amerika na kuuwa mamilion ya wahindi wekundu kungekuwepo dini ina itwa ukristo barani Amerika?
 
Bichwa lako gumu!!..mungu wa kweli hatakiwi kupiganiwa na binaadam kwa kuwa anajiweza mwenyewe,yaani hatakiwi kufanyiwa Jambo na bonaa,Sasa kwa nini hahubiri mwenyewe huko mbinguni tukamsikia na kimfuata badala yake maaskofu,wachungaji,manabii wanahaha kumuhubiri!?
Hapa utapinga na kuunga mkono BASATA kufungia wimbo. Kisa wametajwa mashoga lazima mgogoro uwepo na watetezi ndio nyinyi
 
Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni.

Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi.

Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala msikiti ukionekana popote pale.

Hata ule wimbo wa Zuchu aliona bora akafanyie mzaha kanisani kuliko msikitini!

Hivi ni kwanini hawa wasanii waislam huwa hawapendi au hawafanyii dhihaka dini yao?

Nafikiri kwakua ni waislamu wangekua na mengi zaidi yakuigizia dini yao kuliko kuwadhihaki wakristo.

Ni watu wa hovyo sana na nitashangaa BASATA isipochukua hatua kali this time.
Uvumilivu wetu unawapa kichwa Hawa wapumbavu, niishie hapa kwa leo.
 
Hakuna aliye kasirika bali unatakiwa kujibu swari.
Kama mungu wenu ahitaji usaidizi hilo kanisa unalo salia limejegwa na mungu?

Au hiyo biblia unayo tumia kumuabudu yy ndo anekununulia?

Bila roma kusimama kidete kuutetea huo ukristo kwa panga siunge sambatishwa na Ottoman?
Bila wakristo kulivamia bara la amerika na kuuwa mamilion ya wahindi wekundu kungekuwepo dini ina itwa ukristo barani Amerika?
Sasa mtu kununua Biblia inamsaidia nini Mungu? Hela si ni yake anaitafuta na kutumia anavyotaka. Au ukijilipua unamsaidia nini Mungu?
Yani unadhani kuna hisani binadamu atamfanyia Mungu?
 
Julie tu kwanini kanisa tu wanatoa ridhaa ya nyimbo kurekodiwa kanisani? Kama kwenye nyimbo ya zungu wapo kanisani au church heathen ya shaggy na mavazi wanawapq wasanii. Tatizo linaanzia kwa viongoz wa dining.
 
Sasa mtu kununua Biblia inamsaidia nini Mungu? Hela si ni yake anaitafuta na kutumia anavyotaka. Au ukijilipua unamsaidia nini Mungu?
Yani unadhani kuna hisani binadamu atamfanyia Mungu?
Basi punguza shobo na dini za watu abudu unacho kuamini.
 
Usijitoe ufahamu makanisa mengi tu tunaona waumini jinsi wanavyovaa utadhani wanakwenda disko, na hili linapigiwa kelele kila leo, kwenye hiyo dini yenu uzungu mwingi mpaka mnavuka mipaka kwenye maadili.
Mbona unanikalipia mkuu, kila mtu na abebe msalaba wake.
 
Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni.

Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi.

Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala msikiti ukionekana popote pale.

Hata ule wimbo wa Zuchu aliona bora akafanyie mzaha kanisani kuliko msikitini!

Hivi ni kwanini hawa wasanii waislam huwa hawapendi au hawafanyii dhihaka dini yao?

Nafikiri kwakua ni waislamu wangekua na mengi zaidi yakuigizia dini yao kuliko kuwadhihaki wakristo.

Ni watu wa hovyo sana na nitashangaa BASATA isipochukua hatua kali this time.

Angetangaziwa kitu kinaitwa Fatwa
 
Upumbavu mlianza wenyewe kuchezea na kuweka kipande cha yesu yule jamaa ..Ambaye bado kundi kubwa la wajinga wanaamini ndo yesu.
Kuwapa watu vyeo vya unabii wakati ni washamba tu kwamba ni manabii level za yesu😂😂😂😂

👉Jiheshimu uheshimike !!
Manabii level za Mtume. Yesu ni level za Mungu
 
Hawawezi kuchezea dini ya 'mnyazi mungu'
 
Naona umepata pa kuhemea mkuu. Ni kanisa gani linatuhusu kuingia kanisani na nguo nusu uchi? Unafikiri hivyo viboko vilisaidia hao mabinti?
FB_IMG_1671288174965.jpg
 
Tukiondoa hiyo changamoto ya mchungaji...

Wimbo wake ni Bora kabisa wa kufungia mwaka.

Namshauri aongeze na kipande Cha Sheikh akiwa kashaoa wake wanne na Bado ana michepuko ya kutosha ili kuweka mizani sawa.
Au aongeze kipande cha gaidi mmoja wa Al Shabaab aliyelipua watu kwa mabomu, halafu akafika peponi akakabidhiwa mabikira 72, na mito ya pombe.
 
🤣🤣🤣ukiristo siodini mkuu kwahio wasanii wakiimba kanisani usishangae Wala dulamakabila alicho fanya nikawaidatu kwakua ukiristo niusanii kushinda huo usanii wadula makabila😂😂.ukiristo nikikundi chakukusanya sadakatu hamna kingine chamaana.🤣🤣🤣.uisilamu hauchezewi nanyau yeyote..mmeelewa?au??????????????????????
Siku zote mwanadamu aliyesoma na kuelimika, hufanya maamuzi yake kwa kutumia akili! Ila yule bumunda ambaye hajaelimika, ndiyo hukimbilia kwenye matumizi ya nguvu, kama silaha yake kuu.

Bila shaka umenielewa.
 
Back
Top Bottom