Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Wingi wa watu sio sababu mziki wetu unasikilizwa na afrika mashariki yote ndio mana nimekutajia wasanii wakuwahesabu wanaoweza kuleta ushindani kidogo na naijeria artist huko youtubeNigeria kwao wapo zaidi ya mil 200 ,TZ tupo zaidi mil 60,hamuwezi kuwa sawa.
YoutubeUnaongelea YouTube au platforms nyingine??
Mbn me naona sisi ndio tumekomaa na YouTube lakini ukija kwenye platform kubwa kama itune , audiomack na zinginezo wametuacha mbali mnooYoutube
Basi kwa hili wengi tulikuwa hatujui hadi youtube wanaija wanatukimbiza sisi tuna wasanii watatu kama sio wanne wanaoweza kufikisha viewers 50m kwa nyimbo mojaMbn me naona sisi ndio tumekomaa na YouTube lakini ukija kwenye platform kubwa kama itune , audiomack na zinginezo wametuacha mbali mnoo
hapo kibamia mtoe kabisa, hana wimbo wowote wenye views million 50Basi kwa hili wengi tulikuwa hatujui hadi youtube wanaija wanatukimbiza sisi tuna wasanii watatu kama sio wanne wanaoweza kufikisha viewers 50m kwa nyimbo moja