Msanii anakuwa na beef au mtangazaji na redio ndio wanao tengeneza beef na msanii ?NIGERIA KUNA WINGI WA WATU NA PIA NAFIKIRI HAWANA BIFU ZA KIJINGA JINGA KAMA HUKU KWETU ETI MTU ANAPAMBANA KUPUNGUZA IDADI YA VIEWERS KWENYE YOU TUBE YA MWENZIE ILI AMSHUSHE KWA MAKUSUDI ILI AENDELEE KUWA JUU PEKE YAKE.
KINGINE NI MSANII KUA NA BIFU NA BAADHI YA VITUO VYA REDIO NA TV'S STESHENI, HII INAWAVUNJA MOYO WATANGAZAJI KUPROMOT NYIMBO ZA WASANII WETU KWASABABU LEO UNAMSAIDIA KESHO ANAKULETEA DHARAU.
CLOUDS ILIKUA INAJITAHIDI SANA KUHAMASISHA WATU WAWAPIGIE KURA WASANII WETU KWENYE TUZO KUBWA KUBWA ILA KWASASA HAWANA MWAMKO HUO TENA BAADA YA KUHITILAFIANA NA WASAFI.
Sababu beef zinaanzaga pale msanii anapotaka WIN WIN,hapa ndipo beef linapoanza kwani watangazaji na radio hawataki kabisa kuisikia WIN WIN bali wanataka wao wapate kingi.
Baadhi ya watangazaji wa TZ wameua vipaji vya wanamziki kwa tamaa yao ya kutaka kingi kuliko msanii.